Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

Hivi bado kuna mtu huwa anamsikiliza Bana! huyu ndo adui namba moja wa watanzania wapenda maendeleo! Full kujipendekeza!
 
Wenzake wanaongea pointi, yeye anamwaga pumba.

mimi nilifikiri umeweka 'link' ambayo tunaweza ku-click na kumsikia anachoongea! Sasa wewe unadhani watu wote wana-access na BBC?! acha hizo Mkuu, next time record uweke link ili na sisi tuweze kusikia kilichozungumzwa, au unaweza ukaa ndika muhtasari wa kile alichoongea. otherwise, thread yako hai-make sense = ni ya kutupa kapuni:redface::spider:
 
alishakiri kuwa yeye ni mliberal na anaishi kikapitalist full sasa mtu wa hivi si wakuaminika wala si mkombozi wa taifa kama la tanzania ni wakumpotezea anajali tumbo lake tu.
 
Huwa nasikitika sana nikimsikia mwl wangu Dr Bana. Siamini kama anayoyasema huwa anyaamini. Ukimwangalia kwa makini hakuna ushirikiano kati ya maneno yake na haiba ya "mtaalamu wa mambo ya siasa!"
Ukimsikiliza kwa makini ni kama anaongea ili am "impress" mtu fulani! Kwa ufupi anaiabisha taaluma!
 
Yupo huru kuongeya acheni aongee ndio democracy ila matokeo yake yata fanana na maneno yake. Adanganywi mtu tena
 
Mtaalamu wa siasa katika chuo kikuu cha Dar es salaam Dr. Benson Bana amesema kushindwa kwa ccm katika uchaguzi mdogo wa arumeru kunaonyesha jinsi gani chama cha mapinduzi kimepoteza mvuto kwa wananchi kutokana na kukiuka misingi ya kuwatumikia wananchi. Mtaalamu huyu wa siasa ambaye pia ni bingwa kutoa tafiti zinazoibeba CCM katika chaguzi zote amekisifia waziwazi chama cha CHADEMA na kusema kuwa kinakubalika na kina mvuto mkubwa wananchi hivi sasa.Ameyasema haya katika mahojiano yake na redio dochwvele ya ujerumani ambapo pia amekanusha kusema kwamba ccm kinampasuko huku akidai kwamba wabunge wake ndio wanatofauti na si ccm.Dr. Bana amesema hatashangaa kuona chama kingine kikishika dola mwaka 2015 kutokana na mwenendo huu wa chama tawala.


Source. Radio DW UJERUMANI IDHAA YA KISWAHILI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom