My opinion: Je serikali ya CCM iko serious kweli au ni kiini macho tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My opinion: Je serikali ya CCM iko serious kweli au ni kiini macho tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jun 8, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  @ Facebook: by William Malecela on Tuesday, June 7, 2011 at 8:36pm

  @ NEW YORK CITY-US: Hongera sana Serikali ya CCM kwamba kwa mara ya Tatu toka tupate Uhuru, imeonyesha kuwa ikiamua inaweza kusimamia Sheria bila kujali inamgusa mwananchi au kiongozi wa taifa. Ninasema kwa mara ya Tatu kwa sababu mara ya kwanza ilianza na Balozi Mahalu, halafu Mawaziri Wake Yona na Mramba, na safari hii Mwenyekiti wa Chadema. Kama kawaida siku zote the end of hizi National Legal dramas huwa ni open for debate, na hasa iwapo the end justifies the means, lakini angalau hata kidogo kuliko kutokuwepo kabisaa! Ninasema hivi, kusimamia Sheria za Jamhuri ni lazima kuwepo na gharama na sisi wananchi walipa kodi lazima tuwe tayari kulipia gharama za Serikali yetu kusimamia Katiba ya Jamhuri, ambayo Viongozi wetu wa taifa hukubali kwa kiapo cha vitabu vyetu vitakatifu kwamba bora wafe, kuliko kuona Sheria za Jamhuri zinavunjwa!

  - HOWEVER: Serikali ya CCM ifike mahali sasa isituchukulie sisi wananchi kama ni wendawazimu au walevi walevi flani hivi, ambao tunaweza kudanganyika kirahisi sana na viini macho. I mean huu mwendo wa kasi sana uliotumika katika kusimamia Sheria kwenye ishu ya Mwenyekiti wa Chadema, kwa nini isitumike na kwenye kesi zingine ambazo ushahidi wake wa maovu against sisi wananchi, na kwa Sheria za Jamhuri yetu upo wazi kabisa! I mean upo ushahidi wa kutosha sana kuhusu Ufisadi wa Radar na BAE, tunajua kwamba upo ushahidi wa kutosha sana kuhusu Richmonduli, tunajua sana kwamba upo ushahidi wa wazi kuhusu Dowans na Kagoda, sasa kwa nini huku upande wa pili unaowahusu Viongozi wa CCM Serikali inasua sua na kuwa na makengeza? Hivi ni kweli Serikali ya CCM inaweza kwa macho makavu sana na uso kwa uso kutuambia wananchi kwamba Farijala na Maranda tu ndio waliochota hela za EPA? Yaani kazi yote ile na gharama za kamati ya Mwakyembe na Richimonduli mpaka leo kwa nini hakuna kiongozi hata mmoja aliyefikishwa kwenye Sheria? Kumbe Serikali ya CCM ikitaka kusimamia Sheria inaweza kutumia hata midege ya Jeshi ambayo tafsiri yake inaweza kuwa Amiri Mkuu Wa Majeshi yetu ndiye Chief Of Our Law Enforcement, kwa hiyo mkono wa kushoto kuusaidia wa kulia sio dhambi, Bravo for that lakini vipi wahalifu sugu huko ndani ya CCM?

  - I mean we are taking Serikali ya CCM at its words kwenye ishu ya Mwenyekiti wa Chadema, kwamba iko serious na kusimamia Sheria za Jamhuri, So! tunasema hivi Charity begins at home sasa ni wakati wa Serikali ya CCM kutuhakikishia wananchi kwamba katika kusimamia Sheria za Jamhuri, hakuna aliye juu yake kwa kuwafikisha kwenye Sheria Viongozi wake wengi wanaotuhumiwa kuvunja Sheria ile ile iliyovunjwa na Mwenyekiti wa Chadema, mpaka kumbeba na Midege ya Jeshi letu ili akaridhie Sheria Arusha, sasa hii Midege iwabebe na wanaohusika na Radar & BAE, Richmonduli, IPTL, Dowans, Kagoda, EPA, Deep Green, Meremeta, Anabem, Kiwira, ATC na wao tuone wakibebwa na midege ya Jeshi kwenda kwenye Sheria za Jamhuri!: Tunasema hivi sisi wananchi wa Tanzania sio mabwege tena!

  Well, People Good Night!

  William Malecela @ New York City, USA.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,520
  Likes Received: 81,871
  Trophy Points: 280
  I mean we are taking Serikali ya CCM at its words kwenye ishu ya Mwenyekiti wa Chadema, kwamba iko serious na kusimamia Sheria za Jamhuri, So! tunasema hivi Charity begins at home sasa ni wakati wa Serikali ya CCM kutuhakikishia wananchi kwamba katika kusimamia Sheria za Jamhuri, hakuna aliye juu yake kwa kuwafikisha kwenye Sheria Viongozi wake wengi wanaotuhumiwa kuvunja Sheria ile ile iliyovunjwa na Mwenyekiti wa Chadema, mpaka kumbeba na Midege ya Jeshi letu ili akaridhie Sheria Arusha, sasa hii Midege iwabebe na wanaohusika na Radar & BAE, Richmonduli, IPTL, Dowans, Kagoda, EPA, Deep Green, Meremeta, Anabem, Kiwira, ATC na wao tuone wakibebwa na midege ya Jeshi kwenda kwenye Sheria za Jamhuri!: Tunasema hivi sisi wananchi wa Tanzania sio mabwege tena!

  Well, People Good Night!  Thubutu!!!! Kikwete hana uwezo wa kumbeba fisadi yeyote yule ndani ya CCM ndio maana anajibaraguza tu huku na kule. Na Kama ulikuwa huujui ukweli huo basi kuanzia sasa fahamu hivyo kwamba Kikwete atajibaraguzabaraguza hadi kumaliza awamu yake ya pili na hatamgusa yeyote katika hao uliowataja kwa sababu hana ubavu wa kufanya hivyo.

  Angekuwa nao ubavu huo basi angeshawagusa na kuwasweka ndani wote hao na kisha kujizolea umaarufu mkubwa sana lakini kwa sababu anajijua na yeye mwenyewe si msafi basi ataendelea kugwayagwaya tu huku akiomba Mungu awamu yake iishe kabla hajatimuliwa.
   
 3. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhhh ! Kwanza mwenyekiti wetu F. H. Mbowe hakuvuja sheria yeyote, Magamba ndio walitaka kumnyanyasa kwa kutumia mahakama, polisi, na JWTZ. kwani hapo kila mmoja alishirikishwa kufanikisha ubakaji wa demokrasia.

  Pili Nakupa hongera kwa kuweza kuwakumbusha magamba juu ya uhaini wanaoufanya, ila kumbuka wanaweza kuonea tu. hawawezi kusimamia sheria za nchi ndio maana utaona matamko na tume kibao zikitumia kodi zetu bila matukio na matokeao yakinifu. Mafisadi wananguvu kuliko CCM. Hivyo subiria sufuri.

  Tatu kiongozi wenu, mwenyekiti wenu huwa naye analalamika kuwa mafisadi wanamsumbua, wauza unga wanamsumbua, majina anayo ila tunashangaa hakamatwi mtu. Tumechoka na ngonjera. Mtanzania mwenye nia ya kweli awaunge CDM kwenye kuikomboa nchi 2015 hizo ngonjera zitakuwa historia, hakuna dege la jeshi wala hakuna kuonea mtu kila fisadi atakwenda mbele ya sheria.

  Propaganda za CCM mwachieni Nape na aliowaajiri mitandaoni.
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,508
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Nilidhani una akili nzuri kumbe ni walewale Fisadi's kwanza hakuna haja ya kujadili upuuzi huu......wewe unajua sheria ama umesimuliwa?
   
 5. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Duh!

  William @ NYC, USA.
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Some of us tutaendelea kama kawaida yetu kuihakikishia Dunia kwamba hii sio forums ya Chadema, so pole sana mkuu sio wote tunaofikirishwa kwa mafungu hapa pamoja na kuficha thread na maoni lakini tumetoka mbaali sana na this game, huwa tunasimama pale pale bila kuyumbishwa wala kuogopa, hatuogopi watu maana hoja hujibiwa kwa hoja!

  - Sheria ninaijua sana mkuu, ndio maana hata umejitokeza kuja kunijibu! ha! ha! ha!, au? Halafu can you imagine ningewaambia waandishi wa habari kwamba ni kweli nii ni forums ya Chadema, ile siku waliponiuliza? Hapana huwa tunasimamia principle na in the process tunajifunza mengi sana kwamba kuna watu ambao tupo nao ni wa hatari sana kuliko hata hao watawala tunaowapigia kelele! ha! ha1 ha! tunawajua lakini!


  William @ NYC, USA.
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  @William:
  Sheria zipo na ziku zote hufanya kazi pale unapokuwepo utashi wa kisiasa.
  Kuna mafisadi wengi kwenye taasisi za umma; kuliko hata hizi tunazoambiwa EPA et Al. lakini hutasikia hata siku moja wakifikishwa mbele ya sheria iwapo hawahatarishi maslahi ya kisiasa ya walioko madarakani.

  Hizi sarakasi zinazoendelea, zinawalenga wale tu wanaoelekea kusumbua kwenye kinayng'anyiro cha 2015 na kwa taarifa yako, hizi zote ni rafu za washindani wao kwa mtindo uitwao 'elimination'.
   
 8. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Remember: Simple minded always discusses people, ordinary minded discusses events,
  and great minded discusses ideas. Wakati mwingine huna haja ya kujibu kila thread,
  hasa kama iko nje ya mada. Nayaheshimu mawazo yako ingawa yanaweza kutofautiana
  na mawazo yangu kimtazamo, lakini nisingependa kuyadharau. Keep it up
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Nina wasiwasi na ukweli wa hii kauli
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Mbowe na Chadema bado hawajafikia kuwa tishio kwa CCM kuwa kwenye power, na it has nothing to do na Mbowe kushindwa kufika mahakamani alikowekewa dhamana, kama kweli CCM inataka kumu-eliminate Mbowe sidhani kama inahitaji kusubiri ashidnwe kwenda kwenye kesi yake Arusha halafu ikamuachia,

  - Mbowe hawezi kugombea Urais tena, na Chadema wana tatizo kubwa sana hapo 2015, unless atokee a strong candidate from CCM, Zitto anaweeza kututikisa sana, lakini that is all unless CCM tujimalize wenyewe kama kawaida yetu!

  William @ NYC, USA.
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Well, vipi mkuuu kwema sana huko? Siku nyingi sana tutafutane infact juzi niilikuwa na jamaa kutoka bongo yaani Rungwe, alikuulizia sana, tuwasiliane ndugu yangu!

  William @ NYC, USA.
   
 12. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jenga hoja basi nawe tuone mtazamo wako! Au ndo walewale mliotumwa kutetea hata upuuzi? hiyo buku mbili kwa siku unadhani itabadilisha maisha yako na ndugu zako?
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,763
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu kauli ya hapo juu nakuunga mkono but KUHUSU CDM KUPATA MGOMBEA NAJUA NI SABABU UPO MBALI KWA HIYO HUWEZI KUJUA STUATION YA HAPA!
   
 14. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Hii midege ingeanza na kumsomba mzee Malecela atueleze milioni 200 kutoka kwa Jeetu zilitoka wapi?
   
 15. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Hayo ndio maneno ya Magamba siku zote, kujimilikisha nchi. kwani CDM sio watanzania? Kwanini isiwe CCM wenye matatizo 2015 mafisadi, wezi, wabakaji demokrasia? Wewe subiria tsunami 2015. No spinning zone. Na kama mnaamini mpo sawa waacheni CDM acheni kuwakamata kamata hovyo achieni wananchi waamue. Je kura za uraisi 2010 JK alipata ngapi? Tume mbona ina kigugumizi? Kifaa chochote 2015 kutoka CDM kinaingia magogoni 2015.
   
 16. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Fungulia topic yake hapa sio na wala haihusu! ha! ha! ha! ha! ha!, nice try thou! ha! ha!, una maana zile Pounds Millioni 3 toka kwa Tony Blair Charity from Gadaffi? ha! ha! ha!

  William @ NYC, USA.
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,317
  Likes Received: 19,470
  Trophy Points: 280
  Willium post zingine usiwe unazijibu aisee, unaweza ukawa unabishana na watu wa mirembe bila kujijua. sasa hapo kitu gani hakuelewa?
  haya ni magugu hapa JF lakini ni watz wenzetu
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - CCM ina alternatives nyingi sana za wagombea wa Urais, kuliko huko upande wa pili Magufuli, Mwandosya, Membe, Sitta, Mwakyembe, hawana wapinzani!

  William @ NYC, USA.
   
 19. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Mkuu JF ni uwanja wa kuelimishana hizo ni cry for the help za kutoelewa kabisaa kinachoendelea na taifa lake, so dawa ni kumsaidia badala ya kumkimbia au kumu-ignore, lakini nakusikia sana ushauri wako! Tuvumiliane ndio maisha na ni Demokrasia pia!

  William @ NYC, USA.
   
 20. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Umeeleweka bwana mdogo. Tatizo la nchi hii sio maendeleo ya wananchi na haki zao. Tatizo ni kila kiongozi aliyeko madarakani kusisitizwa kulinda siri za hujuma za uchumi ambazo toka mpendwa wetu Baba wa Taifa, chama kubwa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere afariki viongozi wa CCM kuanzaia Mwinyi (dhahabu ya AirPort, Loliondo kuwapa waarabu, mauaji ya mwembe chai, udini) Nkapa na kuifirisi nchi kiviwanda,madini, na sasa huyu JK, muunda makundi, udini, mshirikina alindwaye na majini ya Sheik Yahaya).

  EPA, Deep Green, n.k. hazitazimwa hata karne ijayo. Zitafidiwa, hata wakifa, tutafukua makaburi yao na skeletoni zao tutazitia katika minyororo na kuzisweka korokoroni. Waache wacheleweshe SIKU HAIKO MBALI tutawakwida wote ambao akaunti zao za wizi wa EPA ziko BOT na nje ya nchi. Mithali 24: 24-25 " Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia; Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia
   
Loading...