Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

...Uongozi wa CHADEMA mkoani mwanza ukiungwa mkono na uongozi wa kitaifa wa CHADEMA wametoa masaa 36 wahuni na majambazi wa CCM waliowavamia wabunge wa ilemela na Ukerewe wakamatwe.La sivyo nguvu...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Posted on April 4, 2012 by zanzibaryetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Ramadhan Abdalla Shaaban,kuwa Waziri wa Ardhi.Makaazi,Maji na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana Jamvi, nimesikia mara kwa mara CCM wakisema ''Wapinzani wameandika kwenye mitandao yao'' hii mitandao ya wapinzani sijapata fursa ya kuisoma. napenda sana kujua Sera za wapinzani. naombeni...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Jeshi la Polisi liko matatani. Polisi wetu wanawaona wananchi kama maadui zao kiasi kwamba hakuna ile heshima ya polisi kwa raia. Tumeyaona Nyamongo, tumeona Songea na sasa yametokea tena Mwanza...
15 Reactions
39 Replies
5K Views
Baada ya juhudi za CCM za kutaka kudhihirisha kuwa wanataka mtu asiyejua huko wanakolipeleka taifa ni kwenye upambavu na hatari kama alivyosema mwalimu kwenye hii hotuba fupi, leo hii wamefanikiwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Diwani mteule wa Kata ya Kirumba kwa tiketi ya Chadema, Daniel Kahungu ameelezea namna viongozi hao walivyoshambuliwa. Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Kahungu ambaye aliibuka mshindi katika...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya Lema kukataa kukata rufaa dhidi hukumu ya kutengua Ubunge wake ni wazi uchaguzi utafanyika ndani ya siku 90 kwa mujibu wa sheria. Kwa nini NEC isitumie muda huu kufanya marekebisho ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeamua kutangangaza mapema kuuza kura yangu ya Urais mwka 2015. Nitauza kura yangu kwa shilingi 0 kwa mgombea atakayekuwa tayari kurudisha azimo la Arusha. Ambaye atakuwa tayari tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natambua kwamba Mwanasiasa kama January Makamba ni mfano wa kuigwa kwa vijana,kutokana haiba na uwezo wake wa kujenga hoja na kuwasilisha katika jamii,lakini kisiasa January ni mwepesi mno...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je ni busara kwa sitta kukampenia ccm kwa namna anavyo ikaanga?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Politicians and diapers should be changed frequently and all for the same reason By José Maria de Eça de Queiroz, LOL!
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Ingekuwa vyema baada ya Mbunge mteule kuwashukuru wana Arumeru kule Arusha akatumia muda kidogo kuwashukuru wapenzi wa CDM walioko Dar kama ishara ya kuwawakilisha wengine tuliopo mbali mikoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli Chadema imewashtua sana CUF. Chadema inakua kama moto wa kichaka wakati CUF inazidi kudorora. Muafaka hasa ndio umeiua CUF maana wanamezwa na CCM na ni vigumu kuitofautisha CUF na CCM...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki yuko mjini leo, taarifa kamili kufuata... Nawasilisha
0 Reactions
15 Replies
2K Views
tumsaidie ndugu yetu lusinde shule za kata zipo nyingi. tumrudishe darasani. ... huyu jamaa tusimlaum nlipata bahati ya kujua elimu yake. kumbe ameishia darasa la saba bana. akaenda kusoma chuo...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
tulisha sikiliza sera zake,tukamchagua,mnavyo tuambia hajasoma maana yake sisi wapumbavu,..nyie wenye elimu,.elimu yenu imetusaidia nini?
1 Reactions
2 Replies
996 Views
Waziri Ngeleja akisakata rhumba kwa kukata kiuno. Mbunge wa Afrika Mashariki, Dk. Amani Walid Kabouru (kushoto) na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga wakisakata muziki. …Akihutubia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi siogopi Lema kudhulumiwa na Lowasa. Maakama ya mwiiisho kabisa DUNIANI ni UMMA A.K.A ppoooooz. NASARI kapige kampeni A-town.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
SIOI SUMARI ALITOSWA NA VIGOGO WA CCM MKOA, WILAYA, WAFUASI 61 WA CHADEMA WATIWA MBARONI, WADAIWA KUVUNJA KIOO GARI LA KAMANDA WA POLISI MAMBO mengi zaidi yamezidi kuibuka kuhusu uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…