Jamani nimesikiliza Hotuba hii ya Jk Nyerere na kuamini ya kwamba kama Viongozi wetu katika nyanja zote za kiutendaji (serikalini na ndani ya vyama vyetu) wangeufanyia kazi, hakika nchi yetu...
Ikulu hawawezi kupinga kuwa na influence kwenye mahakama zetu TZ.....hili linajulikana sana...sema watanzania ni wasahaulifu sana....yamewahi kufanywa maamuzi na mahakama za TZ ambayo yamewahi...
Mwanasiasa huyu Bwana!!
Masikini, fukara,tajiri mkwasi kijana wa jana, umri wake wangu, hana wasiwasi,wala upesi, katika maamuzi yake.
Hana dini, wala kabila, si mbaguzi, bali mpevu,mkomavu...
Tz ina Madaktari wa upasuaji wa mfumo wa fahamu (neuro surgeons)-3
Madaktari wa moyo ( cardiologists)-5
Madaktari wa figo (nephrologists)-3
Madaktari wa mfumo wa fahamu...
LUSINDE, MWIGULU WAPIGWA STOP MIKUTANO YA KAMPENI
Na Martin Malera
UHASAMA wa kisiasa na kikazi baina ya wanasiasa wawili waliopata kuwa maswahiba wakubwa, Rais Jakaya Kikwete na Waziri...
Ilikuwa yapata majira ya saa sita usiku wa kuamkia tarehe 2/4/2012 maeneo ya mamlaka ya mji mdogo wa usa river, mvua inanyesha huku vijana wakiimba nyimbo ya msiba maarufu kama ''parapanda...
Baada ya kuutangazia umma na kutoa masaa 36 kwa Polisi kuwakamata wahalifu walio wacharanga mapanga wabunge wa CDM jijini Mwanza,Kiwia-Ilemela,Machemli-Ukerewe na makada kadhaa wa CDM.Polisi...
sina maana kama wameshndwa kutawala na hata kama baadhi ya watu wataamini ivyo lakini sitaki kuamini moja kwa moja hata wao imani yao ipo hivyo kwamba wameshndwa japo kuwa tangu enzi za...
Wana JF napendekeza kama utatokea uchaguzi ndogo ktk nchi yetu ingekuwa vizuri vyama vingine kama kweri vina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania viunganishe nguvu kwa cdm kwani kwa matokeo ya...
Wanajamvi mtakubaliana na ninachokifikiria mimi kwamba kama hiki chama cha magamba kingechukua jimbo la arusha ktk uchaguzi mkuu 2010 haya yanayotokea sasa kwenda mahakamani...
Wataalamu tusaidie wazee wasipate presha kutokana na ccm kuporomoka. Watasikitika kweli chama walichokitumikia kwa nguvu/miyo ya yote inakufa............
Wazee wapate elimu kuhusu change - pros...
Ubongo wetu ndio unaongoza mkono wa kuandikia(uwe wa kuume au wa kike)
Kila utakacho liandika ni zao la ubongo wako kutuma ujumbe kwa msuli wa mkono wako kuandika .
Kwako wewe wa Magogoni unaona...
Wadau, wananchi wanaoingia mgodini kwa ajili ya kuchukua mali yao wameanzisha vita na mgodi kwa kukataza wafanyakazi na magari ya mgodi kuonekana mtaani. Siku za hivi karibuni wamekuwa wakiingia...
Ndugu Wana JF,
Namshukuru mwenyezi mungu kwa kufanikisha safari yangu kutoka ughaibuni na kuwasiri kwenye uwanja wa mapambano mkoani Arusha, jimboni Arumeru Mashariki na kubahatika kuwa karibu na...
Wabunge wengi wa ccm wanakabiliwa na kesi za wizi wa kura na kesi hizo zilifunguliwa na wapinzani mara tu mshindi wa ccm alipotangazwa sasa inakuwaje hukumu kuchelewa hadi sasa na kesi ya Lema...
Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani...
wafanyabiashara ndogo ndogo wa ubungo waliondolewa leo wamevamia manispaa ya kinondoni, kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi wa eneo la mbadala. hiyo imetokea baada ya mbunge wa ubungo john mnyika...