Membe na harakati zake za nchi ijiunge na OIC ziliishia wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe na harakati zake za nchi ijiunge na OIC ziliishia wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Jan 14, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Membe amefikia wapi na harakati zake za kuiingiza nchi ktk OIC??
   
 2. S

  Sheba JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu, katika mazingira ya mfumuko wa bei, mjadala wa katiba mpya na changamoto nyingi zilizoko mbele yetu, kweli OIC ni agenda ya watu au inausaidia nini kuijadili? Yaani upate tu cha kusema kuhusu Membe?
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mtumie message Mbopo, ndio "msemaji" wa Membe JF.
   
 4. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Aaaagh! Kanisa lilimkataza ikabidi aufyate mkia!
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  kani ni very powerful, hakuna nyokonyoko yeyote anayeweza kuleta upuuzi wake kwa kanisa.
  Umeamini eeh!! Kanisa ni noma, ndilo linaloamua kila kitu, wengine wote ni kama watoto wa bata, mnafuata nyuma tu.
   
 6. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anavuta pumzi ngoja harakati za Urais zikaribie ndio atafanya agenda yake ili apate kura za waislam, si ndio ticnic zao alizofundishwa na baba Riz1, kama yeye alivyokuja na ile ya mahakama ya kad** akazivuna kiulaini kura za akina malaria sugu.
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  ccm wakimsimamisha mkristo waislam watapigia kura cuf hata huyo mkristo awaahidi kukutana na mohamed.
   
 8. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Membe kutoa msimamo wake kuhusu mahakama ya kadhi. Atafanya hivyo kupitia tamasha la pasaka siku ya jumapili katika uwanja mkubwa wa taifa

  ...ndiyohiyo
   
Loading...