Kama ccm ingeshinda arusha 2010...

Dan Geoff P

Member
Jan 16, 2012
85
100
Wanajamvi mtakubaliana na ninachokifikiria mimi kwamba kama hiki chama cha magamba kingechukua jimbo la arusha ktk uchaguzi mkuu 2010 haya yanayotokea sasa kwenda mahakamani tusingeyaona..nachoamini ni kwamba kutokukubali kushindwa ndiko kumepelekea kwenda mahakamani kutoa mashtaka yasiyo na mashiko,,angalia sgd mashariki na ubungo hamna chochote cha maana zaidi ya kupoteza kodi za wananchi kwa mambo yasiyo na msingi..Naamini saa ya ukombozi imekaribia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom