Tunajifunza nini uchaguzi arumeru.

Havizya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
499
702
Ccm bila shaka yoyote imepata ujumbe, kazi yao ni kuamua wafanye nini na ujumbe huo
 
Namuangalia hapa Kapoka yupo Star tv anasema cdm ipo kwenye pik na chichiem inashuka ngazi,na hivyo cdm wakimsimamisha mwehu kirumba na ccm wakisimamisha prof automatic cdm inashinda
 
sura ya nape wakati anakiri kushindwa na kuipongeza cdm inatia shaka kama alikuwa na dhamira ya dhati ya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom