Uchaguzi ujao vyama vingine vya siasa viunge mkono CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi ujao vyama vingine vya siasa viunge mkono CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frenki katto, Apr 2, 2012.

 1. f

  frenki katto Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF napendekeza kama utatokea uchaguzi ndogo ktk nchi yetu ingekuwa vizuri vyama vingine kama kweri vina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania viunganishe nguvu kwa cdm kwani kwa matokeo ya Arumeru kuliko kungangania kuweka mgombea mwisho wa siku chama kinapata kura 18
   
 2. K

  KITENDE New Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu vyama hivi vidogo vinapata msaada wa fedha kutoka ccm ili vishiriki katika maamuzi ya NEC kama kamati ya maadili kwa dhamira ya kupambana na CDM.Pia mara nyingi wanatumia mawakala wao kuhujumu CDM kwa hiyo kamwe haviwezi kuunga mgono.Muhimu ni kwa CDM kutambua mbinu hizi ili kwenye kamati za maadili vyama ambavyo havina wabunge na madiwani visishiriki katika kutoa maamuzi mengi
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hapana, viendelee na ukiritimba wao hivyo hivyo, after all havina madhara yoyote!
   
 4. J

  Juvenatus Alais Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kushiriki kwa vyama vingi ni ishara ya kukua kwa demokrasia iliyokuwa ikikandamizwa na inatupa sample kubwa
   
Loading...