Kwanini kesi nyingi zinazohusu wizi wa kura hazitolewi hukumu mapema?

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Wabunge wengi wa ccm wanakabiliwa na kesi za wizi wa kura na kesi hizo zilifunguliwa na wapinzani mara tu mshindi wa ccm alipotangazwa sasa inakuwaje hukumu kuchelewa hadi sasa na kesi ya Lema imetolewa hukumu fasta fasta? Sijawah kuskia hukumu ya kesi ya wizi wa kura iliyomvua ubunge mbunge wa ccm hata kama ni kweli alichakachua matokeo, Why?
 
Back
Top Bottom