Ushindi wa chadema arumeru umetokana na ushamba wa helikopta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa chadema arumeru umetokana na ushamba wa helikopta

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by calculator, Apr 3, 2012.

 1. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Fikra zako Bwana ? ... Lets see wachangiajinwengine!!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wameru wamekuwa washamba kiasi hicho?
  Hiyo dharau yenu itaisaidia CHADEMA kuchukua majimbo mengi zaidi. Makabila mengine yanasoma hiyo dharau yenu.
  Kwahiyo baada ya wameru kujazana kwenye mikutano kwa ajili ya helikopta siku ya uchaguzi waliipa zawadi ya kura kwa chadema kwa kuwaonyesha helikopta?
  Uchaguzi wa udiwani chadema hata wakisimamisha jiwe linashinda!
   
 4. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Changia kwanza wewe. Chadema ni kama kifaranga, kweli mkapa hakukosea
   
 5. JS

  JS JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haya ni matusi kwa Wameru kama yule jamaa mwingine tu sijui mbunge wa wapi....acha ujinga
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CHADEMA wote wanamimba watazaa siyoi! Lol AMA kweli CCM Chaka la vichaaa
   
 7. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  CCM tumejipanga kuchota kata zote 5 hapo arusha mjini, tuna mbinu na pesa, nyie na magwanda yenu mtaishia kula sadaka za watu. Tena ile kata ya KIMANDOLU ndo tunaitolea macho kama ikulu vile. Hampati kitu ng'odi.
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wewe ndie unatakiwa kuacha ushabiki, kwani CHADEMA wameanza Arumeru kutumia helicopter? Ina maana kwako Wameru ndio wameanza kuona helicopter wakati wa uchaguzi? Zile charter na balloons zinazochukua watalii kila siku hawazioni? Naomba magamba wote wawe na akili kama za kwako ili kazi ya ukombozi wa nchi yetu iwe rahisi!
   
 9. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  mshamba bibi yako!gamba mkubwa wewe!
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i have never met such a cow dung post like this in jf history
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Iliwashinda nini CCM kutumia Gulfstream....si wana pesa.......
  Sasa kwa taarifa yako.....tunajipanga kuchukua Monduli....ndio mtajibeba.....
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Umeamua kuwakejeli wameru..

  Ila chopa inasaidia ndio maana nasema Mbowe awe Rais ni mbunifu sana huyu dogo

  Nilikuwa Dodoma vijijini juzi wananchi wanasema kile chama chenye ndege ndio tunawataka..
   
 13. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ndio watu wanaotaka wapewe nchi hawa. Jibu hoja basi
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mdini mkubwa wewe wa ADC
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Tena tunataka uchaguzi ufanywe hata kesho na magamba muwe na mapesa ya kumwaga (wazalendo tukose hata mia). Kwani Arumeru magamba hamkuwa na pesa? Yaliyowakuta Arumeru sasa yatawakuta 80% ya nchi nzima (ukitoa unyamwezini, ugogoni, uzaramoni na kwa Waluguru - Wangoni wameshituka).
   
 16. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ndo uone sasa, CHADEMA mmefanya JF ni yenu?? Hamna hata kadi za kura, mnashabikia tu ujinga.
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Umejuanje mimi mdini kama wewe siyo mdini; wewe mdini mkubwa wa chadema
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  siku zote ukubishana na pundamilia unaweza ukajikuta unamsaidia kubeba mzigo, sasa ww kaa na ukulaza wako kwani una macho lakini huoni. Jivueni gamba kwanza ndo uje ulete ukinega wako huo.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  ADC ngome kuu misikitini !
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  wewe ni MBUMBUMBU.
   
Loading...