Viongozi wa ccm wangeufanyia kazi hotuba hii, hakika tanzania ingekuwa mbali sana.

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
Jamani nimesikiliza Hotuba hii ya Jk Nyerere na kuamini ya kwamba kama Viongozi wetu katika nyanja zote za kiutendaji (serikalini na ndani ya vyama vyetu) wangeufanyia kazi, hakika nchi yetu pendwa ya Tanzania ingekuwa mbali katika nyanja zote hasa za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.

Sikiliza nawe Mtanzania hii hotuba na utafakari, then uchukue hatua na kila mtu kwa nafasi yake.

Hotuba ya Mwalimu Nyerere, Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma - 1995 - YouTube

RDI.
 
Kaka nimeipenda hiyo kiwa wananchi wanataka mabadiliko wasipo wasipoyapata ccm watayapata nje ya ccm. Pia rushwa, udini unaopandwa na ccm, ukabila na umaskini wa watanganyika
 
Back
Top Bottom