Wazee wa CCM hatarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa CCM hatarini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amkawewe, Apr 2, 2012.

 1. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wataalamu tusaidie wazee wasipate presha kutokana na ccm kuporomoka. Watasikitika kweli chama walichokitumikia kwa nguvu/miyo ya yote inakufa............

  Wazee wapate elimu kuhusu change - pros and cons, so that they dont become uncertain and resistant.

  M4C - for life
   
 2. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wazee gani unaowalenga
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,439
  Likes Received: 10,646
  Trophy Points: 280
  hakuna presha yoyote!tutajipanga 2015

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wazee wakisema ukweli kwamba chama chao kinaporomoka kuelekea kaburini Nape anawabeza kwa kusema "ccm bado iko imara na itatawala milele". Ngoja washuhudie anguko la chama chao kwani ni wao waliokirithisha chama kwa mafisadi na manyang'au
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  wazee wenyewe wamempa kura Nassari.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  CCM itawalea hao wazee kama wanavyowalea wale wazee wa East Africa Community.
   
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazee walishabadilika siku nyingi kutokana na mashinikizo ya vijana wao. Na hili limedhihilika Arumeru, maana CCM imepata kura za vijijini peke yake!!
   
 8. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna mzee moja wa sinza alikuwa anahojiwa na analalamika jinsi chama alichokitumika toka enzi za Nyerere (RIP) kinavyokosa mwelekeo. Ukimwangalia usoni ana masikitiko makubwa kuelekea 2015.
   
 9. P

  Papadoc Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazee kama nani! WBM,RUKHSA....au? Si ndo hao hao! Ushawahi panda choroko ukavuna mtama?
   
 10. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wazee watakaoumia ni wale wasio mafisadi wa enzi za mwalimu siyo haya mafisi wa enzi za ANBEN, epa, kagoda, rich....
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  hawa wakipewa pilau nyama kuku na mia mbili ya kahawa na kashata wanaenda diamond na kujiita wazee wa dar!
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  chant, chant, chant, nyabhingi chant, chant chant.
   
 13. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazee si ndiyo hao wanaionya CCM kila siku na kusema kuwa inaelekea kufa, kwahiyo wala hawana presha sababu wanajua CCM inakufa.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  mzeiyah!

  Photo-0201.jpg
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Nilijua mada ya mana kumbe ...
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata Nyerere, akiwa mzee ,alisema CCM si baba yake wala mama yake. Kama ina matatizo hao wazee waikimbie kama ukoma.
   
 17. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna wengine wana uelewa mdogo wanahitaji shule. Wameshakunywa majani ya kijani basi taabu tupu
   
 18. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawaomba wazee wa ccm wanaohisi chama kutofanya vyema kutokana na malengo ya uanzishwaji wake wajitoe ccm kuwekea mkazo kwa vitendo kama ishara ya kulazimisha mabadiliko ndani ya ccm.
   
 19. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Napita tu
   
 20. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wazee wenye busara zao hawana shida yoyote, wale wanafiki watafilia mbali na ccm yao! Hasa mabalozi wa nyumba kumi.
   
Loading...