Mbunge Ezekiel Wenje(CHADEMA) alichanganya jeshi la polisi jijini Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Ezekiel Wenje(CHADEMA) alichanganya jeshi la polisi jijini Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Apr 5, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Baada ya kuutangazia umma na kutoa masaa 36 kwa Polisi kuwakamata wahalifu walio wacharanga mapanga wabunge wa CDM jijini Mwanza,Kiwia-Ilemela,Machemli-Ukerewe na makada kadhaa wa CDM.Polisi wamemwagwa kila mtaa jijini Mwanza na wanapiga mabomu ya machozi kwa kila kikundi cha watu wanachokikuta bila kuuliza.Kwa ujumla Polisi mpaka sasa hawajajua ni kitu kipi kitatokea baada ya masaa 36.Wanapiga ramuli.

  Tutahabarishana zaidi...Ila Mwanza jijini ni raha sana mpaka dakika hii...waweza kulala mlango wazi maana hakuna vibaka...FFU na Defenders zao wapo kila mtaa.
   
 2. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni wakati mwafaka kwa umma kuonesha upana wa mamlaka yake.Tumechoshwa na chama kinachobebwa na polisi,Umma uamue aina ya hukumu kwa polisi na si.si.e.m
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  imeshangaza hadi KISEKE PPF, Nyamilolelwa, Nsumba ulinzi wa kutosha
   
 4. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Good,sis tunataka wale wote waliohusika wakamatwe na umma uwatambue bila kujal itikad zao za kisiasa
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha ha
   
 6. M

  Majanga New Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watatuzuga tu awa jamaa..ccm kifo cha mende..
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwakifupi kamanda Ballo ameshindwa kazi matukio ya ujambazi na uvunjivu wa amani,viongozi kuvamiwa umeongezeka kama juzi wamemvamia Ras nyumbani kwake mbona wakati wa Kamanda Sillo haya matukio yalipungua.
  Mytake.Ballo uwezo wake wa kuhando jiji kama mwanza hana apelekwe Simuyu au arudishwe hq kama desk officer
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nashangaa polisi kufanya kazi kama mganga wa kienyeji, kwanini walimuibia mzinzi na fisadi malima walikamatwa ndani ya massa 12 tu?
   
 9. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha sana kuona hali hii. Kila ninapotafakari huko mbele tuendako naona giza na utusitusi kuhusu hatma ya nchi yangu. Hivi hawa polisi nao hawasomi alama za nyakati?
   
 10. H

  Hodarism Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa polisi wanalipwa nanani mbona wamejisahau. 2015 tutakapochukua nchi zitangazwe ajira mpya hawa hawatufai inabidi wao wakawe majambazi mtaani. Kwa sasa ni majambazi ndani ya nguo ya jamuhuri wapenda haki.
   
Loading...