Kama ccm imewafanyia mazuri wananchi wake kwanini itumie nguvu na gharama kubwa ktk chaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ccm imewafanyia mazuri wananchi wake kwanini itumie nguvu na gharama kubwa ktk chaguzi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by batazoba, Apr 8, 2012.

 1. batazoba

  batazoba Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Wana ccm wanatakiwa wajiulize kama kuna kigezo cha maendeleo waliofanya kwa wananchi kwanini watumie nguvu na gharama kubwa katika chaguzi ndogo.
   
Loading...