Vidole viwili juu vyatawala tamasha la pasaka u/taifa mbele ya membe na nape. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidole viwili juu vyatawala tamasha la pasaka u/taifa mbele ya membe na nape.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwakiluma, Apr 8, 2012.

 1. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika kuonyesha kuwa kuwa viongozi wa ccm wamechokwa katika kila kundi la jamii nchini...leo hapa uwanja wa taifa katika tamasha la pasaka ambalo mgeni rasmi ni Bernad Membe vimetawala vidole viwili ambavyo ni ishara ya chama cha democrasia na maendeleo....alama hiyo iliibuka mara baada ya Membe kuanza kutoa hotuba yake...pia vidole hivyo viwili vikiambatana na zomeazomea vilitawala wakati nape nnauye akitambulishwa na pale Membe alipoonyesha kutaka kuirefusha hotuba yake...katika tamasha hilo Membe aliahidi kutoa shillingi millioni kumi huku akisema rais ameahidi kutoa millioni kumi na waziri mkuu pinda akiahidi kutoa milioni tano.  Source: Mimi mwenyewe nimeshuhudia.
   
 2. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  people are surely tired of magamba
   
 3. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  he he heeeee
   
 4. S

  Siasaniupendo Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape na Membe hawakuvaa kofia za kijani?
   
 5. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Picha pls.
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Inaonekana mnataka hili liwe la mwisho, endeleeni kuwakera magamba.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hizo ni salamu za ziara ya lema jijini Dar.
  ILe safari ya serikali kunamia dodoma imefika kwa sababu Dar itakuwa chungu kwa watawala.
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Endeleeni kuchanganya dini na siasa. sasa chadema ina uhusiano gani na sikukuu za kikristo? mnaharibu malengo ya vyama vya siasa
   
 9. s

  sverige JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mleta mada wewe nichadema,siku zote anae pandisha vidole juu nikama vile kalegea ,yaani mambo yake sio rizki
   
 10. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Homa ya magamba inakaribia kutua i.c.u na waendelee kuzomewa maana zomea zomea ni laana kwa mafisadi kwa sababu ni sauti ya wengi ambayo ni sauti ya mungu, 1 dya watakiona cha moto nya.......ba.........fu zao.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  huyo waziri alienda taifa kisiasa au kidini?
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ngumu wapi wewe wakati ccm ndio inatawala dar
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  acha u-lusinde
   
 14. K

  Kirai Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya umma
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  lengo la lema ni kufika kote ambapo ccm inatawala ili kuwafumbua macho wananchi.

  "injili huenezwa kwa wenye dhambi na wasioamini''
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kumbe Membe na Nape ni watumishi wa Mungu na pale uwanja wa Taifa ndiyo wafuasi wao hukusanyika??!!
   
 17. S

  Sheba JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Napata tabu kuamini hata kwenye tamasha la injili waongo wapo. Uwanja huu huu na mimi nipo hivo vidole viwili vilikuwa vimeonyeshwa chini ya sketi na suruali? Kwanza kwa nature ya uwanja ulivyojaa karibu nusu (uwanja una uwezo wa 60,000) na umbali kati ya jukwaa na stage unawezaje kunyosha vidole vikaonekana?

  Je, unaweza pia kutuambia Membe katamka nini leo kwenye hotuba yake?
   
 18. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naona roho inakuuma sana Tume ya katiba!!!!! Lusinde alipoona ameshindwa kuvumilia aliamua kutukana ilivafurahishe nafsi yake na magamba pia!!!! Sasa sijui na wewe utafanyaje?
   
 19. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  acha kutudanganya bana. weka picha tuone.
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wanatafuta nini hawa wezi wa rasilimali za nchi hii kwenye tamasha la Injili? Na wanatoa hela za nini wakati Muhimbili wagonjwa wanalala chini?
   
Loading...