Pendekezo: Rais Kikwete mteue Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa Tume ya kutunga katiba

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.

SOURCE:Godwine
 
Sikubaliani na hili pendekezo hata kidogo, atakuwa bias na ataweka matakwa ya cdm zaidi kwenye Katiba, we need a free and liberated person in this position ambaye si politician na wala si wakala wa ccm. Ingawa watu kama Pof. Baregu wanafaa kwenye kamati
 
mchakato ulianza vibaya baadaye ukaenda vizuri unanza tena kuchafua hali ya hewa. katibu wa chama anaingiaje hapa. jk kazima moto kwa kukaa na chadema huu ndio mshahara wa kikwete?
 
aweke wenyeviti wawili...tawala na upinzani
Ama wanaharakati na wanazuoni wa sheria na political science
 
rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu
 
Changia hoja acha kebehi...are u Mr clean?

hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
 
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.

SOURCE:Godwine

Unawasemea watanzania au unakisemea chama chako cha siasa? Au wewe ni mwanaharakati?
 
kesi ya dr slaa pale mahakama ya manzese ya kupora mke wa mtu inaendeleaje?mwenye up dates tafadhali
 
Sikubaliani na hili pendekezo hata kidogo, atakuwa bias na ataweka matakwa ya cdm zaidi kwenye Katiba, we need a free and liberated person in this position ambaye si politician na wala si wakala wa ccm. Ingawa watu kama Pof. Baregu wanafaa kwenye kamati

Sijui kama wana CDM wanakuelewa vizuri hapa maana wao wanataka kila wanachotaka wao kitekelezwe na matakwa ya wengine yapuuzwe....hii ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom