Tuwamwage tuwamwage mafisadi woote waliotajwa kwenye uwanja wa mwembeyanga dar kwa maendeleo ya tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwamwage tuwamwage mafisadi woote waliotajwa kwenye uwanja wa mwembeyanga dar kwa maendeleo ya tz.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MCHUMIPESA, Apr 8, 2012.

 1. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni dhahili kuwa hali ngumu ya maisha inayowakabili wanachi wengi wa tanzania ikiwemo maisha magumu,huduma duni za afya,mfumuko wa bei,dhuluma,wizi,utapeli,uongo,uongozi mbovu ikiwemo mauaji ya raia wasio na hatia,kubeba wawekezaji,elimu duni,miundombinu hafifu,kukosekana kwa amani,udini,rushwa matumizi mabaya ya mahakama,kukosekana kwa uwajibikaji na mambo mengine mengi yanayofanyika katika nchi yetu yenye rasilimali kibao chanzo chake kikuu ni hawa MASHETANI WAKUU YAANI MAFISADI. MY TAKE:WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI,KABILA,CHAMA CHA SIASA,UKANDA,JINSIA AU NAFASI ALIYONAYO MTANZANIA WA KAWAIDA TUUNGANE KWA PAMOJA KUWAPIGA VITA JUU CHINI PEMBENI KATIKATI NA PANDE ZOTE ZA TANZANIA ILI TUWEZE KUPATA MAENDELEO KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO,WANAJAMVI(GREAT THINKERS) NAKARIBISHA MAONI,MAPENDEKEZO NA HOJA KUNTU ZA KUWANG'OA HAWA MAKAFIRI WA MAENDELEO ILI KUFIKIA 2015 TUPATE KATIBA MPYA NA UONGOZI MPYA.KWA HESHIMA NA TAATHIMA NAOMBA KUTOA HOJA.
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  onesha njia namna gani tuwakatae?
   
 3. B

  Black Rhino Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tuwakatae mafisadi ccm kwa kuwanyima kura bila hivyo bado rasilimali za nchi zitaliwa na wao wenyewe
   
 4. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Piaaaaa kwa kuwashitaki kwa wananchi kupitia matamasha mbalimbali,makongamano na maandamano hata vyombo vya habari kama magazeti ,vipeperushi,elimu kwa umma na tv huru na siyo tbc
   
 5. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  soma vizuri hii thread inakutaka ufanye nini wewe kama great thinker!!!!!!!!!
   
Loading...