Cuf na prof. Lipumba ni wanafiki juu ya ubaguzi wa Watanzania

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Hivi majuzi ktk mjutano wao mjini Pemba mara baada ya Lipumba kurudi toka USA akiwa na viongozi wote wa chama akiwemo Malim Seif, Jussa, Mtatiro nk prof huyo alijikosha kwa kuwa chama chao kinachukia ubaguzi wa aiina yoyote hasa ubaguzi wa dini, uunguja, upemba na Utanganyika kumbuka kuwa kama wiki mbili nyuma Jussa alishawabagua Watanganyika na udini wake.

Na akasisitiza ni bora wamvue mtu huyo uanachama kuliko kuwa nae nikajoji Jussa mbona wanae ikaishia kiaina aina.

Hivi majuzi mtu yule yule anakuja na hoja ya kibaguzi ya makazi na ajira kwa Watanganyika wasipate haki wakiwa Zanzibar.

Nayaamini maneno haya ya zaidi ya miaka 2000 yalisemwa MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO
 
cuf wana gunia la uozo wa discrimination by nature. na harufu haiishi kwisha hata wakisema hakuna harufu ya uozo itawaambua mara.HAWA TUNAO WACHA WAJIKAANGE ULIWAHI KUONA VIBANDA AU MAGHOROFA YA WAZENJI YANACHOMWA BARA. ZANZIBAR IMETOKEA KULE KUNA FITNA YA KUAFA MFTU. FIKIRIA KAMA ZANZIBA INGEKUWA NDIO BARA. PIMA HALI INGEKUWAJE WANOKO SANA WALE

Jamani Jusa si J...U....H....A....???? Me hata sishangaagi maoni na mawazo yake.....JUHA....
 
Hivi majuzi ktk mjutano wao mjini Pemba mara baada ya Lipumba kurudi toka USA akiwa na viongozi wote wa chama akiwemo Malim Seif, Jussa, Mtatiro nk prof huyo alijikosha kwa kuwa chama chao kinachukia ubaguzi wa aiina yoyote hasa ubaguzi wa dini, uunguja, upemba na Utanganyika kumbuka kuwa kama wiki mbili nyuma Jussa alishawabagua Watanganyika na udini wake.

Na akasisitiza ni bora wamvue mtu huyo uanachama kuliko kuwa nae nikajoji Jussa mbona wanae ikaishia kiaina aina.

Hivi majuzi mtu yule yule anakuja na hoja ya kibaguzi ya makazi na ajira kwa Watanganyika wasipate haki wakiwa Zanzibar.

Nayaamini maneno haya ya zaidi ya miaka 2000 yalisemwa MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO
hovyo hovyo uzandiki na fitina uliyokujaa!!!!.tuwaache wazanzibar watete nchi yao na sisi wadanganyika wa ukabila na udini tuendelee na upofu wetu
 
Haaaaulaaaa!haulakibalu!bisimilai lahamani laimu!punye,punye siwenye laukana mpunyenye!ubwabwa ni chakula cha wanacuf
 
Sasa kosa la LIPUMBA ni nini?
mimi nilisikiliza hotuba yote alikemea sana kubaguana kwa misingi ya dini na kabila na kimaeneo! na akasema wtawala wanatumia karata hiyo ili kuendelea kujinufaisha , tatizo lipo wapi hapo?
Bora ya LIPUMBA nayeongea wazi likitokea jambo baya kuliko CDM ambao wanatetea kila lisemwalo na viongozi wao.
Kwa hili nampongeza Prof maana hakumun'gunya maneno.
 
cuf wana gunia la uozo wa discrimination by nature. na harufu haiishi kwisha hata wakisema hakuna harufu ya uozo itawaambua mara.HAWA TUNAO WACHA WAJIKAANGE ULIWAHI KUONA VIBANDA AU MAGHOROFA YA WAZENJI YANACHOMWA BARA. ZANZIBAR IMETOKEA KULE KUNA FITNA YA KUAFA MFTU. FIKIRIA KAMA ZANZIBA INGEKUWA NDIO BARA. PIMA HALI INGEKUWAJE WANOKO SANA WALE

Haya masalia ya wafanyabiashara ya utumwa ni hatari sana, tena ni wakuogopwa kama ukoma. Ana ajenda binafsi ndani yake sio bure huyu mtu. Achunguzwe vizuri kabla ya kupewa taji la uzalendo wa Zanzibar. Huyu bado anaamini yale mapinduzi ya kumn'goa Sultani yalikuwa haramu. Wazanzibar mumuangalie huyu jamaa kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom