Chadema ya potezewa muda wa kujiimarisha kwa operation sangara kuvuna watu wengi njama za ccm

lubaga

Member
Apr 6, 2012
65
17
Chama cha mapinduzi ccm kimepanga mkakati wa makusudi wa kuwakwamisha chadema kwenda kwa wananchi kujiimarisha na kutoa elimu ya uraia kuhusu ujio wa katiba mpya.matukio ya kesi hizi ni moja ya silaha ya kuwakwamisha kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa ratiba ya chadema kwa mwaka huu. Dr slaa na mbowe mlitazame hili kwa jicho jipya kujipanga bila kuitelekeza ratiba ya oparetion sangara kuwavua uwoga baadhi ya watanzania katika baadhi ya mikoa iliobaki nyuma na harakati za kuiong'oa ccm.pili kuhusu ujio huu wa katiba ni moja ya hesabu za ccm kutaka wananchi wakose elimu ya kuhoji na kuchangia maoni yatakayo ratibiwa na tume iliyotangazwa hivi karibuni .tunataka watu wawe na uwelewa mkubwa na mpana kabla ya tume kuanza kazi rasmi .
 
Back
Top Bottom