Chadema Anzisheni Mradi wa Kuuza Magwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Anzisheni Mradi wa Kuuza Magwanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Apr 8, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nashauri idara ya pesa Chadema wawe wabunifu. Nashauri kuingia mkataba na mtu hata mimi naweza kushona magwanda ambayo yana demand kubwa sana kwa sasa na angalao chama kipate asilimia 30 ya faida. U will make billions out of it
   
 2. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Gud idea
   
 3. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  yani wewe ni bonge la mjasiriamali, tena hayo magwanda yauzwe kwny kila tawi la chadema, nayapendaje!!
   
 4. M

  MOSSAD JACOB Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vizuri.lkn kwa mwanza gwanda zipo nyingi sana mlango mmoja ambazo ni za mtumba na kila raia anaweza nunua kwa bei ya maelewano na machinga.so huu ni mradi wa kila mtu siyo fisadi fulani fulani hiyo ndiyo peoplz powa.cha msingi roho ya kudai haki iwepo ndani ya gwanda.
   
 5. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo laini ebu muliangalie tukuze uchumi wa chama.
   
 6. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  sio magwanda tu, mpaka vitu vyote vywa chama like kofia, skafu, t-shirt n.k.... kazi kwenu idara ya fedha cdm.
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Agree with you Mkuu, pia t-shirt ni adimu sana...so be serious on that kamanda utafika mbali
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sasa mtavaa magwanda hata mgambo hamjapita...
   
 9. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Ndugu Maitario,

  Naomba kutofautiana kidogo na hili wazo lako ambalo hata hivyo nia yake ni njema kabisa. Umewaza kijasiriamali. Kuna hitaji la Magwanda unaliona na pana nafasi ya kutengeneza pesa. Tatizo ni jinsi ya kujua mwenye nia mbaya ni yupi katika wataonunua hayo magwanda. Magwanda haya yamekuwa TRADE MARK muhimu sana kwa hiki chama chenu kwa sasa. Lakini upo uwezekano wa mtu au watu kuyatumia vibaya magwanda hayo kama vile ambavyo majambazi huwa wanatumia vibaya sare za jeshi na sare za polisi.

  Mimi naomba magwanda yaendelee kutolewa kwa umakini sana. In fact, kama ingewezekana, chama kiende Brella na kusajili pattent mtu akijishonea hovyohovyo kichochoroni apatikane na hatia ya kugushi nembo ya hiki chama chenu.
  Bila hivyo, ipo siku kitatokea kikundi kifanye fujo kubwa sana kikiwa katika magwanda haya kwa lengo moja tu la kuchafua jina zuri la Chadema. Upo hapo?
   
 10. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Aisee Nikabidhi vipimo vyangu muanze kazi ya kushona..Great idea.Watu kuiba hata sare za Police na jeshi wanaiba kwa kufanyia uhuni....
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Unataka tuvae ile minguo Yenu ya kiajuza?
   
 12. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wewe mbona post zako zinapingana, mara CDM wanashirikiana na CCM kuimaliza CUF mara hii...
   
 13. h

  hans79 JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mfuate Lusinde mwenzawe
   
 14. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa wamepita Mgambo? Wapili kushoto ni Martine Shigela na Watatu kushoto ni Beno Malissa.

  [​IMG]
   
 15. v

  vngenge JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Sawa lkn kama mtu ana nia mbaya hata hilo gwanda lenye NEMBO atatumia tu kwa nia yake. ziwe nguo tu za kawaida mradi zinatangaza chama basi hizo complication sio za msingi.
   
 16. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Haya ya kijani kwakweli hata ukinipa bure sichukui na nikikuheshimu sana nikachukua ujue linaenda kupigiwa deki. Hata mlinzi wangu kampuni anayotoka wanavaa uniform za kijani mimi nilipiga marufuku kwangu nikamnunulia khaki anapendeza sana!
   
 17. k

  kubane Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani flana za kijani zenye picha ya JK si zipo nchi nzima? mbona ha2oni ziki2mika vibaya? nways ni onyo zuri japo mwenyewazo stil anawazo zuri.
   
 18. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Naomba hii kitu ianze mara moja ila mzalishaji awe chini ya uangalizi wa chama ilikudhibiti mapato! Kama bei itakuwa elfu 50 au chini mimi binafsi nahitaji pair 20 kwa ajiri ya wapiganaji na supporters ambao uwezo wao uko limited!
   
 19. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  changamoto ņzuri ktk mawazo mazuri.kama ulivyosģauri yote kwapamoja yafanyiwe kazi kwa umakini mkubwa.
   
 20. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwaņza litacģafua maji ya daķi,bora kulitelekeza njiani tu.
   
Loading...