Jamani tuaidieni Ruvuma!

Magwira

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
371
114
Wana JF,

Mtusaidie wana Ruvuma tupo kwenye limbi kubwa jeusi na zito la ukosefu wa Elimu ya URAIA. Ndo maana CCM tunakiona kama chama kutoka kwa Mungu.

Wanaharakati tunatamani sana mabiliko ila elimu ya demokrasia hatuna tunafiri ni vita. Umaskini na upofu ni kikwazo. Mje mtupe ujasiri.

AMEN
 
Tumekusikia mkuu tutayafanyia kazi, halafu jitaidi kuandika maneno yako vizuri huo uandishi wako kama vile unaandika sms hapa JF kuna Great Thinkers..
 
Nakuja huko. Hebu niambie nifikie wapi, Lizabon, Msamala, Bombambili au nianzie mtini kabisa?
 
Tuache utani kwenye masuala ya msingi....hata huyu jamaa kwlei anahitaji msaada na sote tunafahamu maeneo kama haya ni mengi sana hapa Tz, kuanzia Dodoma, Singida, Kigoma kidogo, Rukwa, Katavi, Iringa, hasa njombe, Mufindi na Ludewa...na maeneo mengine mengi...kazi ni kubwa ya kuwaelimisha watu hawa, siyo kwamba hawataki kubadilika, lakini wanahitaji mtu wa kuwapa ujasiri na kubadilisha fikra zao kuwa kuchagua mbadala wa ccm siyo vita.....TOGETHER WE CAN ......YES WE CAN....VIVA CDM....
 
Wana JF,

Mtusaidie wana Ruvuma tupo kwenye limbi kubwa jeusi na zito la ukosefu wa Elimu ya URAIA. Ndo maana CCM tunakiona kama chama kutoka kwa Mungu.

Wanaharakati tunatamani sana mabiliko ila elimu ya demokrasia hatuna tunafiri ni vita. Umaskini na upofu ni kikwazo. Mje mtupe ujasiri.

AMEN
Tatizo la umeme hasa maeneo ya pembeni mwa mji wa Songea yameisha? JE hali ya hatari ya kuwataka WATU wawe wamelala ifikapo saa Sita usiku bado ipo?
 
Tuache utani kwenye masuala ya msingi....hata huyu jamaa kwlei anahitaji msaada na sote tunafahamu maeneo kama haya ni mengi sana hapa Tz, kuanzia Dodoma, Singida, Kigoma kidogo, Rukwa, Katavi, Iringa, hasa njombe, Mufindi na Ludewa...na maeneo mengine mengi...kazi ni kubwa ya kuwaelimisha watu hawa, siyo kwamba hawataki kubadilika, lakini wanahitaji mtu wa kuwapa ujasiri na kubadilisha fikra zao kuwa kuchagua mbadala wa ccm siyo vita.....TOGETHER WE CAN ......YES WE CAN....VIVA CDM....
Kweli mkuu kwenye hili la ukombozi wa Nchi yetu tuache utani. Ruvuma, Mtwara na Lindi wanahitaji ukombozi wa kweli.
 
Kamanda Lemma tumempatia hiyo kazi maana Baba Mwanaisha hamtaki pale Arusha maana alimwambia hata Makamba jnr kabla kuwa Lema lazima apigwe chini tu . Tulimtuma Marehemu Mtema huko mlimuelewa lakini....?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom