Kwa hili chama hakitakuwa cha kifisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili chama hakitakuwa cha kifisadi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkondakaiye, Apr 8, 2012.

 1. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [FONT=&quot]Kauli ya Mheshimiwa Mbowe kuwa iwapo CHADEMA kitashika dola mwaka 2015 watawala wote wanaotumia fedha za umma kwa maslahi binafisi watashitakiwa mahakamani na kupewa adhabu stahiki kama ilivyo kwa nchi zingine, itafanya CHADEMA kisiwe nacho chama cha kifisadi kama ambavyo imewahi kutokea katika nchi zingine. [/FONT]

  [FONT=&quot]Nakumbuka Chiluba wa Zambia baada ya kuingia madarakani kwa kumwangusha Kaunda, alitumia vibaya fedha za nchi yake yeye na familia yake, na baada ya kutoka madarakani alisota jela. [/FONT]

  [FONT=&quot]Najua watawala wa sasa ccm na wale wote wanaofaidi fedha za nchi kifsadi hawatafuraia kauli hii, lakini kwa hakika hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda mali ya umma kwa maslahi ya taifa. Nawala hii sio kulipa kisasi kwa watawala waliopo madarakani.

  [/FONT]
  [FONT=&quot]My take: JK aanze kutekeleza kauli hii ya mbowe kabla hajatoka madarakani. Hii itampa heshima baada ya kuachiangazi.[/FONT]
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye hili hatuna mchezo...Mkapa, Lusinde na matusi yake, Makamba, Sumaye, Chenge, JK, Lowassa.......watashtakiwa, tena naamin hawatashinda kesi zao.....wajiandae.
   
 3. A

  Anizetha Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni ukweli kwani ccm wanatumia fedha za umma vibaya kwani wanajua hawakuja kuwajibishwa.
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Chama cha Mungu CHADEMA hatulei mafisadi hata siku moja.
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  JK...? Nadhani unatania...! Je, unakumbuka kwamba JK aliongoza katika ile Orodha ya Mafisadi ya Mwembe Yanga 2007? Au yeye unampa immunity?
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  .

  Mradi CDM haijaweka wazi sera zake na mrengo wake wa kisiasa na kiuchumi , mimi nachukulia hizi kuwa porojo za kuwahamasisha wananchi Kujenga chuki tu na CCm na si vinginevyo.

  Pengine mtoa mada bado ni kijana ndogo kutokumbuka kuwa TANU na hatimaye CCM walitoa matamko yanayolingana na tamko Hilo la Mbowe.

  Hata mfano wa Chiluba ni stahili kabisa maana tunakumbuka Chilub alivyojilimbikizia mali hadi suti BAADA ya kuupata urais.
  Haikumbukwi kabisa kuwa Chiluba aliingia madarakani na sera au itikadi ipi. Kinachokumbukwa ni chuki Yake kwa UNIP na Kaunda.

  Madaraka kitu kingine bana, mtu akiyapata anawasahau wananchi na anafikiria kujilimbikzia Mali.
  Kama unabisha fuatilia kwa makini mngawanyo wa ruzuku ndani ya CDM na ndio utelewa.
   
 7. A

  Anizetha Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa, Lowasa, Chenge Jk hawa hawata kwepa. Tatizo je CDM itachukua nchi?
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani ili kauli ya mbowe ikamilike, inabidi katiba itamke wazi kabisa kwa kuwaondolea kinga watawala. kitu ambacho katiba yetu haijatamka. katiba ikisha tamka hakuna mtawala atakaye thubutu kuchezea mali ya umma.
   
 9. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana wanatumia kila hila wasitoke madarakani,2015 PIGA KURA LINDA KURA IKAFANYE KAZI,MAJENGO NA VIWANJA VYOTE VITAIFISHWE NA BENDERA YA CCM ICHOMWE MOTO NA KUFUTA CCM.
   
 10. T

  Teko JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wenyewe wanajua na ndiyo maana wanakosa usingizi
   
 11. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanatakiwa wanyongwe bila kupingwa!!!!.maana wanapenda kufanya vitu bila kupingwa,(sihukumu)
   
 12. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Adhabu hii inatakiwa itamkwe kwenye katiba kama ilivyo china, ndo maana china hakuna mambo ya kijinga
   
 13. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  HAKUNA MBADALA WA HILO. Tumeporwa vya kutosha. Kila mmoja wao awajibike ipasavyo.
   
Loading...