Je, haiwezekani kuazima katiba kutoka ktk nchi nyingine? Kwa upeo wangu mdogo kisiasa na kielimu nafikiri katiba ikiwa nzuri husababisha nchi kuwa na maendeleo, uongozi bora na haki sawa kwa...
Ccm wamegudua wapo ktk hatari kubwa sana yakuwa chama cha upinzani kwa Cdm in 2015 au 2020. Wanajua fika kuwa katiba iliyopo sasa inawapa wakati mgumu wapinzani kwani chama tawala kinauwezo wa...
This is a must read for anybody who wants to understand how this country has been raped and continues to be raped by so called foreign investors with the help of our own incompetent, corrupt...
Kwa wale wanaochukulia mambo juujuu bila kuchambua kwa kina hawawezi kunielewa. Ni ukweli kwamba CCM ina wafuasi sana katika mikoa fulani hasa ya tambarare na Pwani na pia Unguja. Mikoa kama...
Habari hii ya kusikitisha , ya kifo cha Rais wa Malawi ambacho kinahusishwa na serikali yake kushindwa kuimarisha miundo mbinu ya Afya ni somo kwa viongozi wetu, kwamba hata kama watakimbilia...
Heri ya Pasaka ndugu zangu wote. Hii ni exclusive. Kuna kamchezo kanafanyika pale wizara ya Kilimo ka kukpoesha watu wasiokuwa na sifa Matrekta. Jimboni Mwanga Mkoani Kilimanjaro kwa nguvu ya...
Mwandishi wetu, Pwani
MWANASIASA mkongwe nchini Kingunge Ngombale - Mwiru ameibuka na kuwataka wenye ushahidi na watu wanaodaiwa kuwa mafisadi wautoe hadharani
"Tuache kupakaziana maneno mabaya...
Si mpenzi wa vyama hutowa sifa kwa chama chochote kile ,zikiwa Nzuri au mbaya alimradi ni sifa tu.nimefuatia kesi ya lema na uchaguzi halafu nikangalia na timing ya matokeo yote mawili ya kesi...
Hivi Lema kahukumiwa kwa kumtukana nani?. Aliyetukanwa hakushitaki, na hata mahakamani hakufika ila waliosikia wameshinda kesi. Walioshitaki ni wasikilizaji, hawa wasikilizaji wanaenda mahakamani...
Imeandikwa na Kulwa Mzee, Dar es Salaam: Thursday, April 05, 2012 09:37
MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Segerea, Samweli Bubegwa ameieleza mahakama kwamba majumuisho ya kura za ubunge katika jimbo...
Mkutano wa CDM hapa Manzese nimefurahishwa sana na aina ya gari alilotinga nalo Mnyika mkutano. Toyota Vits T341BEN. Edapo wabunge wa CCM nao wangetumia hizi gari. Barabara zingependeza sana.
Mimi ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa Wilaya ya Arumeru Mashariki.
Kero yangu kwa hii serikali iliyopo madarakani ni mgandamizo wa maisha kwa dhambi za vigogo mfano ni mfumuko wa bei ya bidhaa...
Ilikuwa kama sinema ya bure hapa NMB Clock tower jioni hii polisi wawili walipoacha lindo na kutimua mbio live waliposikia sauti za kundi kubwa la vijana waliotokea kwenye mkutano wa Chadema...
Wananchiwamezuiwa kufanya shuhuli zinazowapatia kipato cha kila siku na kunyanganywavitendea kazi vyao kwa sababu za kiusalama ikiwa ni pamoja na kutopatikana kwa silahaya askari police...
Maoni ya Katuni
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inakusudia kutafuta utaratibu wa kusaidia vyama vya siasa wakati wa kazi ya kupiga kura kwa kuwapa posho mawakala kwa nia ya kukuza demokrasia...
Nimefuatilia mitandao, ninahakika mambo yamebadilika sana, vijana wanachambua hoka kwa majini mno.
Tahadhari yangu kwa Television zetu na redio zetu,hawatangazi mabadiliko haya kwa msisitizo na...
Waandishi Wetu
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini jana walitumia Siku ya Ijumaa Kuu kukemea rushwa, matumizi ya mabavu na kuhamasisha waumini wao kukataa kupitishwa kwa sheria...
Baada Mwigulu Mchemba na wenzake kuiua rasmi ccm Arumeru, leo ameoneka nyumbani kwa Kanumba Sinza na skafu yake ikining'inia shingoni. Nimeona makada kibao wa ccm, source itv taarifa ya habari saa...
Mbunge wa Kyela (CCM), Dk.Harrison Mwakyembe, amekirushia kombora Chama cha Mapinduzi kwamba kama kitaendelea na mivutano ya ndani, kuna uwezekano mkubwa wa kubwagwaa katika chaguzi zijazo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.