Batilda katuma barua kwa rais kutaka kuacha ubalozi na kuja kugombea ubunge Arusha

Apr 6, 2012
10
1
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge?

ni kweli rais kikwete alijua balozi batlida atashinda kesi yake ndio mana alimteua kuwa balozi hapo kenye karibu na arusha?
 
Hawezi kuacha mafao kibao na marupurupu Nairobi na wala hawaulizwi na kufuatwa fuatwa na camera za waandishi. Huo ni uzushi tena live!
 
Huo ni uongo unaokaribiana na u-lucifer. Kitaratibu hatakiwi kuacha kazi hadi pale chama chake kitakapothibitisha kuwa yeye ndio mgombea. Uteuzi wa ndani hata haufikiriwi utakuwa lini sababu hawajajua kama cdm itakata rufaa au la, Batilda akurupuke tu ku-resign? Uongo na uzushi mtupu
 
Tehetehe si aje tu aone moto wa arusha! Atarudi na machozi kwa huyo rais wake
 
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge?

ni kweli rais kikwete alijua balozi batlida atashinda kesi yake ndio mana alimteua kuwa balozi hapo kenye karibu na arusha?

kama umekosa chakuandika kwenye ukurasa huu wa siasa nenda kwenye udaku mkuu.
 
Hivi nyie mnaokanusha uwezekano wa Batilda kurejea Arusha, ndo kusema nyie ni wasemaji wa balozi huyo?
 
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge?

ni kweli rais kikwete alijua balozi batlida atashinda kesi yake ndio mana alimteua kuwa balozi hapo kenye karibu na arusha?
Join Date : 6th April 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Kituko!!!!!!! Lakini kama anataka aje tu!! Avuiliwe hijabu kwenye box la kura kwa mara ya pili!!
 
kama umekosa chakuandika kwenye ukurasa huu wa siasa nenda kwenye udaku mkuu.
li

Inasikitisha kuona mtu anachukulia Jf kama sehemu ya udaku na ndiyo maana watu wanapuuza mambo yote yanayoandikwa humu kwa kuamini kuwa kila kinachoandikwa humu ni ujinga jambo ambalo siyo kweli, hiyo thread ungeitoa siku ya wajinga wangekusapoti na siyo kupeteza muda na pesa za watu kusoma udaku wa balozi kuacha ubalozi na kutaka ubunge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
 
Kifungu kilichotumika kumvua Mh Lema Ubunge, Tanzania haina Rais anayetambulika kisheria. 2010 JK na ccm walimtukana Dr.Slaa, pia walieneza siasa za kibaguzi, tukiachana na rushwa ya fulana, vitenge na kofia.
Dr.Batilda hana haja ya kuandika barua kwa JK, kisheria JK kapoteza sifa za Urais.
 
Join Date : 6th April 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Dah,Hawa watu walioletwa na mvua za Arumeru kweli wanatupa wakati mgumu wa kuchambua thread gani ni pumba na ipi mchele.au kuna mtu yuko behind this proriferation ya threads mbovu ili hili jukwaa lidharaulike??.
 
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge?

ni kweli rais kikwete alijua balozi batlida atashinda kesi yake ndio mana alimteua kuwa balozi hapo kenye karibu na arusha?

ni wewe umetuambia ktk kichwa chako cha habari.
Then ndani ya hiyo habari unakuja kutuuliza sie ambao ulituambia mwanzo...wa Facebook utawajuwa tu
 
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge?

ni kweli rais kikwete alijua balozi batlida atashinda kesi yake ndio mana alimteua kuwa balozi hapo kenye karibu na arusha?

Hauhitaji kuwa na PHD kujua huu ni uongo, uzushi na ubabaishaji wa mleta thread.

Kwanza kwenye heading yake ni kama anajua kila kitu wala siyo tetesi halafu huku ndani anatuuliza!!!''
 
Back
Top Bottom