Namtambua Mh Godbless Lema kama.........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtambua Mh Godbless Lema kama.........!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiroba, Apr 8, 2012.

 1. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nikiwa kama mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu tukufu Tanzania, napenda kutoa maoni yangu kuhusu huyu kijana aliyeshujaa anayepaswa kuungwa mkono kwa hali na mali. Kwa maoni yangu Mh Lema anapaswa kuwa kama hivi

  1. Ikumbukwe ni vigumu sana kupata vijana wenye ujasiri kama Mh Lema. Hivyo kwa kuwa Mh Lema ameonyesha uthubutu wake basi sidhani kama akipewa kazi ya kuzunguka nchi nzima kuanzisha vuguvugu la ukombozi itakuwa ni kosa. Mh Lema kwa sasa hadhi yake ni ubunge wa nchi nzima na wala si Arusha tu. CDM mulione hili kwani kumtumia Mh Lema kwa jimbo la Arusha tu ni kuwanyima haki watanzania ya kupatiwa elimu ya ukombozi na huyu jasiri.

  2. Kwa kuwa Mh Lema ameamua kujitoa kwa kuitetea nchi yake basi vijana hawana budi kumuunga mkono kwa hali na mali. Mimi nadhani kwa kumtumia Mh Lema kuzunguka nchi nzima na kusambaza M4C na vuguvugu la ukombozi basi tutakuwa tumewafaidisha watanzania wote na si wana wa Arusha tu.

  3. Viongozi wakuu wa CDM wamchukulie Mh Lema kama ni kijana aliyejitoa muhanga kuikomboa nchi yake. Hivyo apewe ushirikiano wa kutosha wa hali na mali. Pia wamtie moyo kwa kazi anayokwenda kuifanya kwa kuwa ni kazi ngumu sana na yenyekuhitaji uvumilivu wa hali ya juu.

  4. Mungu muongoze huyu kijana jasiri ili aweze kuandika historia ya ukombozi wa tanzania yetu. Vijana wote wawe nyuma ya huyu shujaa na wampe ushirikiano wa kutosha. Ni kweli Mh Lema ameanza na mungu na inshaalah atamaliza na mungu!

  Saa ya ukombozi ni sasa, vijana amkeni!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sikujua kama kuna 'mbunge wa nchi nzima'

  ukomboz? Wa Frelimo au?

  Unataka kutoa ndani na mataulo? Mie sitoki.
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ishia huko, kwani umeitwa na kulazimishwa kuchangia....???
  Lusinde hata ubunge wa nyumba yake hauwezi, nyie mkamuona bora mkampa Mtera...sijui ndio akili au matope....???
  Inawauma kweli kusikia Lema ni Mbunge wa nchi nzima....mwaka wenu huu, hadi disemba ifike mtakiona cha mtema kuni washe...nz..i nyie...
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Harakati zimeanzia Arusha na sasa mapambano yanaendelea nchi nzima.
  Namtambua Lema kama Rais wa Arusha.
  Mapambano ya kudai ukombozi wa fikra chini ya uongozi wa Lema yamebarikiwa, na yeyote atakayepinga hilo alaaniwe na watu wote waseme Amen!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tangia utoke kwenye ban umekuwa na uwoga wa kijinga. Yaani unadhani mods ni wa kichama.
  Anyway, hatuwezijua, labda mafisadi wanakuvua chupi na unafaidika kuvuliwa kwako.
  Huwezi kujibu hoja kirahisi namna hii utadhani huna kichwa.
  Kongosho you had my all respect, but under this condition siwezi kukubali kirahisi kuona utu unadhalilishwa.
   
 6. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama ni ubunge wa jimbo moja tu huyu Mh Lema tutakuwa tunamtumia vibaya kwani vijana wenye ujasiri kama Mh Lema wapo wachache sana. Hivyo ni bora angetumika kwa nchi nzima kuliko kumtumia Arusha tu.
  Kama wewe ni mnufaikaji wa huu mfumo wa utawala huu huwezi kujua naongelea ukombozi gani hapa.

  Hongera yako wewe uliyejiingiza kwenye huu mfumo dhalimu wa kiutawala na unanufaika nao.
  Kwa wale masikini watajua ninachokieleza kuwa tunahitaji ukombozi wa kweli. Na Mh Lema ameamua kujitoa kwa ajili ya nchi yetu sote.

  Mungu ibariki tanzania, mungu mtangulie Mh Lema.
   
 7. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh Lema amejitoa kwa ajili ya tanzania na watu wake. Tumuunge mkono kwa hali na mali. Tumtie moyo ili aweze kutekeleza jukumu hili. Ni kweli kabisa nchi yetu inahitaji ukombozi wa kweli. Maneno ya kumkatisha tamaa tuyapinge kwa sauti kuu.
  Mh Lema kila mara anamtanguliza mungu ndio maana anasema wao wana jeshi na vyombo vyote vya dola lakini yeye na CDM kwa ujumla wana mungu wa kweli mwenye huruma na anayetaka watanzania wakombolewe kutoka kwenye utawala dhalimu wa serikali hii ya kikundi cha watu wachache tu.
   
 8. juma sal

  juma sal Senior Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sidhani kama unafikiria sawasawa!!!
   
 9. m

  man water Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni chumvi kwa ukombozi wa taifa letu kumuhunga mkono ni muhimu kwa wale ambao wanaitaji mabadiliko ya kweli
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sikutegemea km mtoa thread yuko VERY LOW kiasi hiki. Hakuna alichoandika zaidi ya Craaaaaaaaaaaaaa!
   
 11. A

  ALI KIBERENGO Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akatembezwe Nchi Nzima yeye ni kama nani? Mtei atakubali hilo? yeye ni Mbowe, ukiamua kutoa mawazo kwanza angalia historia ya CDM ndio useme kama hujui Uliza wenzio.
   
 12. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa sasa hakuna chama cha uchaguzi ila kuna chama cha siasa ambacho kinaendesha shughuli za kisiasa kila siku, siyo mbaya kama Lema anaweza kufanya kazi ya kuitangaza chadema nchi nzima wakati rufani inasubiliwa. Mabadiliko kwa sasa yanahitajika sana kwa Nchi yetu. Tuachane na siasa za zidumu fikra za mwenyekiti hata kama amekosea.
   
 13. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmojawapo wa wanaofaidika na mfumo. Huwezi tambua hilo mkuu. Ninyi hamna shida na mabadiliko na ukombozi wa kweli. Endelea na shibe yako na acha wenye shida na wanyonge wajikomboe. Na mh lema amejitoa kwa hilo.
   
 14. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Propaganda kama hizi tuzikatae kwa sauti kuu. Hujashawishi mtu mkuu!
   
 15. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tuko pamoja mkuu. Tumpe sapoti huyu kamanda!
   
 16. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikujua kama kuna watu wapu...uzi chini ya ardhi kama wewe. Hivi umeshindwa kuuelewa mpango wa mbowe wa kukisafisha chama. Mbowe alishagundua kuwa alikiingiza chaka chama chake na kwamba alishashauriana na mzee mtei kwamba wanasafisha chama. Wameanza na lema atafuatia tundulissu, slaa then sugu finally wenje. Msiojua mtakaa kuilaumu ccm mara dola kumbe mbaya wenu yumo humo humo cdm. Imekaa vizuri kwa magamba hiyo! Hebu kiurahisi, tafakalini kauli ya mbowe pale nmc kuhusu msimamo wa chama, mbowe alisemaje? Yaani hapo baadhi ya wanacdm mlishauzwa bila wenyewe kujijua, poleni sana. Dr slaaaaaaaaaaaa upoooooooooooooooo! Hivi na wewe ulishajua kuwa unazungukwa na ushirika wa mbowe na zitto? Unajua kuwa mbowe ana mpango wa kumtumia zitto uchaguzi wa 2015 na wewe kutoselewa mbali? Wengi najua hamtaamini ninachokisema ila kumbukeni mimi nina first hand info. Kama mbowe anabisha juu ya mpango huo akanushe hadharani nirushe vidhibitisho jamvini.
   
 17. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angekuwa amemtetea Lusinde kuwa ni kijana shupavu sana na ni mfani wa kuigwa nadhani ungekenua meno yote nje!!!
   
 18. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huna hoja zaidi ya matusi tu. Nadhani hizo propaganda zako zimefeli kwa kuwa watanzania wa leo ni werevu kuliko unavyofikiri. Umechemsha mkuu jipange tena!
   
 19. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mkuu. Unajua watu kama hawa ndo wapo wengi nchi hii ndio maana tunachelewa kupata ukombozi wa kweli!
   
 20. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanini unamuita mkuu huyu ni mkuuundu
   
Loading...