CCM walipanga kulichukua jimbo la Arusha Mjini Kilaini

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
CCM are so smart lakini chadema are smarter. Nilikuwa na mtu mmoja wa CCM akaniambia mission ilikuwa ni kumwekea lema pingamizi ili ccm wapite kilaini. Kwamba walimhukumu kwa kifungu batili ila jaji hakusema kama anaruhusiwa kugombea au la. Hata kama ilikuwa kosa la jaji lazima ukate rufaa kuliondoa. Kama Lema angedanganyika kugombea jimbo lingeenda kwa technicalities. CCM wanajua kwa kura hawawezi kushinda.
 
Basi imekula kwao,
 
Wangejua hiyo kesi ndo imewamaliza, wasingefanya hivyo. Imekula kwao
 
nawahurumia ccm kwani wakipanga mipango yao hawaangalii negative results........wakipanga mambo yao ni positive results tu, na hili hawawezi kulikwepa/kurekebisha kwani wameshapigwa upofu na Mungu mpaka kusudio la Mungu litimie, kumbuka farao alivyopewa moyo mgumu na Mungu hadi kusudi la kuwakomboa wana wa-israel likatimia.
 
Enyi ccm je, mmebahatika kuona ule umati uliotapika pale NMC leo.
Watch out more ate still to come off my eyes.
 
Wajamen nao ni ktk kuhangaika! Kwan hamjawah kuona m2 akifa maji? Hata ikiona bua linapita hukumbatia.! Imekula kwao mazima
 
CCM are so smart lakini chadema are smarter. Nilikuwa na mtu mmoja wa CCM akaniambia mission ilikuwa ni kumwekea lema pingamizi ili ccm wapite kilaini. Kwamba walimhukumu kwa kifungu batili ila jaji hakusema kama anaruhusiwa kugombea au la. Hata kama ilikuwa kosa la jaji lazima ukate rufaa kuliondoa. Kama Lema angedanganyika kugombea jimbo lingeenda kwa technicalities. CCM wanajua kwa kura hawawezi kushinda.

Hii inadhihirisha ni jinsi gani CCM are out of touch! Kwa miaka yote wamejiaminisha kuwa watanzania ni mazuzu, hawaelewi chochote na ndio sababu wamekuwa (ccm) wanarudia makosa yale yale miaka nenda miaka rudi. Na hata sasa hawa wakubwa are denial. Wanamuona Lema kama ndio tatizo bila kutambua kuwa wao CCM ndio tatizo.

Miaka 50 wanapiga danadana wanategemea wananchi wakae kimya? Tena washukuru mungu mpaka sasa hivi hawajakimbizwa kwenye mitaro ya maji machafu kama mfadhili wao Gadhafi. Hivi CCM ya Lucinde wanategemea wananchi wakae kimya?
 
Uwezo wao wa kufikilia ni mdogo, makamanda wanafikili mbele zaidi, imekula kwao. Makamanda huu ni wakati wa ukombozi hakuna kulala.
 
Haki haiwezi kushindwa na dhuluma,tuvute subira kidogo haki itende kazi yake na wale wote waliokusudia kudhulumu haki wataumbuka sana.
 
Hata Mimi nililiona hilo la kuja kuenguliwa kwa pingamizi. Nashukuru Makamanda wa Demokrasia kwa kuligundua kungali mapema.
 
nawahurumia ccm kwani wakipanga mipango yao hawaangalii negative results........wakipanga mambo yao ni positive results tu, na hili hawawezi kulikwepa/kurekebisha kwani wameshapigwa upofu na Mungu mpaka kusudio la Mungu litimie, kumbuka farao alivyopewa moyo mgumu na Mungu hadi kusudi la kuwakomboa wana wa-israel likatimia.

Yeah! as the saying goes "if God wants to dstroy u he makes u blind". Finish. Blindness hapa si suala la exactly macho kuona
 
Hivi rufaa mkipigwa chin mtasema ni upendeleo tena?

Kinachotakiwa na kutoa mafunzo kwa lema kuacha kutumia maneno ya kibaguzi, uhuni na udini period

Asipobadilika itakula kwake..aisee
 
ipo siku, upuuzi huu utakwisha tu..... sasa hivi wanahaa kutafuta viongoz wa matawi/wajumbe hakuna watu.
 
Hivi rufaa mkipigwa chin mtasema ni upendeleo tena?

Kinachotakiwa na kutoa mafunzo kwa lema kuacha kutumia maneno ya kibaguzi, uhuni na udini period

Asipobadilika itakula kwake..aisee

Mkuu Topical,

Hapa watu wanashangilia "ujinga" ulioonyeshwa na Jaji. Kwamba anam-convict Lema kwa makosa fulani ambayo yako kwenye kifungu fulani. Halafu anasema ninatengua matokeo ya Uchaguzi wa Jimbo la Arusha kwa kutumia kifungu fulani ambacho hakihusiani na makosa aliyofanya, na kifungu hicho adhabu yake sio tu kutengua matokeo, bali pia na adhabu ya kufungiwa kugombea.

Kesi hii ikienda Mahakama ya Rufaa wanaweza kutengua matokeo lakini hawatamfungia kugombea kwa miaka 5, na hicho ndicho kinatafutwa. Kwa hiyo kama hukumu ilikuwa na mkono wa CCM basi imekula kwao na wameidhalilisha Mahakama na Jaji mwenyewe, nina imani kwamba hata majaji wengine wakitaka kufanya "madudu" ili kuibeba CCM watakuwa more smart na siyo kufanya makosa ya wazi kabisa mpaka jamii inajiuliza kwanini. Hata Majaji wenzake wanamshangaa sana.
 
Back
Top Bottom