Sijamuelewa Dr.Lucy S.Nkya Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijamuelewa Dr.Lucy S.Nkya Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlaizer, Apr 10, 2012.

 1. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  leo kuna mbunge aliuliza swali bungeni akitaka kujua vigezo vinavyotumika kuwepo kwa tofauti kubwa ya mishahara miongoni mwa watumishi wa umma ktk kada tofauti.
  Swali hili lilielekezwa kwa waziri wa afya,akijibu swali hilo Dr.Nkya anazungumzia hoja ya uzoefu,ugumu wa kazi,muda ambao mtumishi alitumia shuleni,n.k.
  Akitolea mfano wa mwl. wa shahada na dkt wa shahada anasema mwl. anayeanza kazi anapokea 469,200/= na dkt. anayeanza kazi ni 957,700/=.
  Naomba anayefahamu vizuri hizo vigezo anieleweshe kwani nilisikia kwenye redio na maelezo yalitolewa kwa ufupi sana.
   
Loading...