Kweli bunge lina huzuni

Mkekuu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
1,237
170
Inaogopesha sana kama si kushangaza bunge kusimama dk 1 kumkumbuka kanumba,wakati kuna IGP,ambaye kiutendaji yeye alikuwa kiranja wa police,hajatajwa hata kidogo huu ni uhuni.na tbc 1 inaonyesha live kuaagwa kwake,pale leaders haya maigizo yakitaifa leo.
 
Halafu tunajishangaa kwa nini ni maskini wakati ni wazi tunaendeshwa na matukio na hatujui kupanga priorites zetu vizuri
 
Kifo cha Kanumba kiteiteka nchi - Serikali, Bunge na vyombo vyote vya habari!

Naomba nijuzwe hivi ni nini hasa Kanumba kafanya katika tasnia ya filamu ambacho nchi hii imetangazwa kimataifa na Tanzania kupata sifa?

Umaarufu wa Kanumba umetokana na filamu zipi?
 
Jamani hivi spika na wabunge wako serious na mambo wanoyafanya bungeni? Wanahubiri nchi ina amani na utulivu lakini hawawaenzi wale walioilinda ni aibu bunge kusimama kwa dk moja kumuenzi msanii Kanumba wanashindwa kuwakumbuka Inspector general mstaafu na Mkuu wa majeshi mstaafu waliotangulia mbele ya haki wa na ndio walipigania hii amani na utulivu wanaojivunia? waache kutafuta cheap popularity
 
unacheza na tz wewe,kama raisi tu msanii unategemea sisi wabunge tuweje?ni full usanii judadadekiiii,kama arumeru mmetutosa mnategemea turudisheje popularity?kudadadekiiiiiiiii,niwalambe nisiwalambe?
 
Jamani hivi spika na wabunge wako serious na mambo wanoyafanya bungeni? Wanahubiri nchi ina amani na utulivu lakini hawawaenzi wale walioilinda ni aibu bunge kusimama kwa dk moja kumuenzi msanii Kanumba wanashindwa kuwakumbuka Inspector general mstaafu na Mkuu wa majeshi mstaafu waliotangulia mbele ya haki wa na ndio walipigania hii amani na utulivu wanaojivunia? waache kutafuta cheap popularity
Katika sehemu ambayo bunge kama taasisi ya utawala ukiwa moja kati ya mihimili mitatu ya dola umeteleza ni hapa, licha ya jitihada zote ambazo IGP mstaafu amezionyesha ktk kupigania amani ya nchi hii muhimili huu umeshindwa kumpa heshima yake, badala yake Kanumba ndo amepewa heshima. Hivi ndo vipaumbele vyetu. Wamelidhalilisha jeshi la polisi ambao ndo msaada mkubwa kipindi cha uchaguzi
 
kawaida kwa ccm kutafta umaarufu wa bei rahisi, kwani hata mkuu si uliona alitoa milioni 10.? Kafurahi tu kuwa wananchi wanaona ujinga wote huu wanaoufanya na wako tayari kufanya maamuzi
 
Kweli huu ni usanii.Na Kikwete kutoa rambirambi millioni kumi amesindilia msumari wa mwisho.Hii inathibitisha kwamba kweli watawala wetu wameharibika kimaadili.Yes,a freemason country indeed.

Back
Top Bottom