Laiti kama ningekuwa wa Jimbo la Mtera...ningeongoza maandamano!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laiti kama ningekuwa wa Jimbo la Mtera...ningeongoza maandamano!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Uncle Jei Jei, Apr 1, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Nilivyosikia hotuba yake nilidhani off air ya ZE KOMEDY,! kiukweli hata wao maadili hayawaruhusu kutukana hadharani!... Kwa upande wangu, naona kabisa huyu bwana LUSINDE hafai kuwa kiongozi wa aina yoyote ile kwani sifa moja wapo ya kiongozi ni busara na staha! Hebu jiulize wewe ukisikia mwakilishi wa matatizo yako bungeni, anasimama mahali na kutukana watu matusi makubwa ya nguoni,! tena na watoto wakiwepo utajisikiaje? Zaidi ya hapo unategemea nini kutoka kwake kuja kwako!? Naamini ipo siku atawatukana wananchi, familia na wazazi wake kwa ujumla!! Hata kama alijibu mashambulizi, ila it was tooo much! Hakutafakari kwanza madhara ambayo ni sifa kuu ya kiongozi! Wito wangu kwa wananchi wa mtera, huyu bwana si kiongozi! Hawafai kabisa kwa maendeleo! Ni muhuni tu kama wale wavijiweni! Ningekuwa mwananchi wa mtera, ningekuwa wa kwanza kuhamasisha maandamano ya amani kuelekea zilipo ofisi zake na wakuu wake kumpinga! Kumtaka atoke mwenyewe madarakani kwani hana sifa za kuongoza watu timamu labda vichaa!!
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  vich*a ni waliomchagua..can't you see it?
   
 3. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wivu wivu wivu wivu wivu
   
 4. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watu wa mtera bure kabisa
   
 5. t

  take away Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubote mbunge aliyekosa kura za kutosha kupitia cdm kule mtera atunze kumbukumbu ni point hizo za 2015
   
 6. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  wivu kwa kuwa kubwa jinga lilojaa matusi au unamaanisha wivu kwa lipi mkuu!!
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wananchi wa mtera na wapenda ccm ni vichaa tu , hawaoni kama kikwete kaichoka?
   
 8. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Waerevu washamuumbua kwa kura,wananchi mtera msije chagua zigo kama lusinde hana mpango
   
 9. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuwaombee wananchi wa mtera wasije wakafanya makosa tena! Kurudia kosa sio kosa, bali kurudia kosa!t lusinde ni hovyo!!
   
 10. p

  peterslayer Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Std seven. Ndio upeo wake. Mtera wamekosa watu knowledgeable na sensible???!
   
 11. v

  veitvetve New Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polen wana mtera.............msifanye kosa tena kuchagua mawazo mgando
   
Loading...