Nape na Mwigulu naomba mnijibu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na Mwigulu naomba mnijibu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoboasiri, Apr 8, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...(na Peter Serukamba ambae namfahamu kuliko anavyojifahamu kwa kuwa nimefanya nae kazi TANROADS japo sina uhakika kama huwa anatembelea JF), naomba mnijibu swali langu:

  Mtanzania maskini aiamini ccm kwa lipi? Naomba mnijibu hilo, na mkiweza kuni-convice kwa hilo kadi yangu ya CHADEMA niliyokata juzi (ilikuwa sikukuu najua ila CHADEMA ina watu wanaojituma bila malipo na kufanya kazi nje ya saa za kazi walinipa) nitairudisha na niwe magamba kama wazazi wangu walivyokuwa zamani japo sasa wameikana ccm!
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tuamini maana wakati wa uchaguzi tunatoa nguo,mahindi ya msaada na Hela kdg ya mboga pia lift kwa magari ya chama ikiwemo kusaidiwa mazishi ukifiwa wakati wa uchaguzi
   
 3. K

  Kirai Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jibu sahihi
   
 4. Mwigulu Nchemba

  Mwigulu Nchemba Verified User

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 180
  Hari ya Pasaka wana JF. Mtoboa siri swali lako pana mno cos sekita ziko nyingi hata ukiichukia CCM KIASI GANI HUWEZI SEMA NI SIFURI. NI SAWA KUNA MAPUNGUFU LAKINI SIO SIFURI.

  KWA UPANDE WANGU SIONI KAMA CHAMA NI TATIZO BALI TATIZO NI KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUKOSA UAMINIFU NA UZALENDO. TATIZO SIO KWENYE SERA BALI TANZANIA KUNA MIPANGO AMBAYO ILIPOPELEKWA NCHI ZA JIRAN WALIBADILI JINA LA NCHI TU WAKAISIMIA MIA VIZURI NGAZI ZOTE IKAWAPA MATUNDA MAZURI. NCHI HAIJENGWI NA MTU MMOJA. SWALI PANA NDIO MAANA NIMEOGELEA KUJIBU.

  ILA KTK KUKUSHAWISHI NAKUOMBA TUSIANGALIE CHAMA KAMA GARI TUANGALIE CHANZO. UTAKUBALI KUWA KUNA WATENDAJI WENGINE WA SERIKALI WALA SIO WANACCM NA NI WABOVU HAWANA UZALENDO KWA NCHI LAITI WATANZANIA WOTE WALIO NA NYADHIFA WANGEJUA KUWA HAWAPASWI KUITUMIKIA CCM BALI WAITUMIKIE TANZANIA UZALENDO UNGEKUWA JUU.

  WATUMISHI WA CCM WAITUMIKIE CCM WA SERIKALI WAWATUMIKIE WATANZANIA NA WAWE WAZALENDO
   
 5. l

  liverpool2012 Senior Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mawazo hapo juu,ccm imeshidwa kusimamia watendaji wake(magamba) na kuleta umasikini kwa kutumia sela yake chukua chako mapema.
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  pole kwa kipigo cha arumeru,nadhani sasa utakuwa mtaalamu wa kusoma alama za nyakati!
   
 7. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Well spoken Nchemba lakini tatizo kubwa ni Serikali ya Chama cha Mapinduzi kushindwa kuwawajibisha watu hawa zaidi ya kuwahamisha vituo vya kazi kila wanapoboronga. Pia hao magamba wa kisiasa nani atawawajibisha, sitafuni maneno namaana Lowassa,Chenge,Rostam na wengine ngazi ya mkoa na wilaya.

  Majizi wametumia siasa ama tiketi ya chama kujinufaisha still wanapeta.Tazama maisha ya viongozi wetu na waliowaweka madarakani ni sawa na mbingu na ardhi.Mtazame Nape alivyoota mbawa,hakubali ushauri wala mawazo ya vijana wenzie kisa eti kapanda Cheo (Katibu Muenezi) na Vx juu mali ya wanachama na watanzania.

  Mwigulu kuna kazi kaka,kweli mimi ni wakuongea na Nape nimpe ushauri mdogo wangu, ananiambia yuko busy sana labda aniassign mtu eti niwasilishe mawazo yangu.Hii ni ishara ya kulewa madaraka, hapa ndipo pazito si watumishi wa chama wala serikali ''wote manzi ga nyanza''.
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja ya kubishana na wakina mwigulu na Pro ccm wote, kwani hawana Mungu ndio maana taifa wamelifikisha hapa kwa kuiba rasilimali zetu. 2015 ndo mtakubali kwamba hiki kizazi sio chenu CCM kwanza na moto utaanzishwa hivi punde na KAMANDA LEMA( mandela wa pili)
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mwigulu, heri ya pasaka na kwako pia. Asante kwa kunijibu, ila pamoja na jibu lako: mnajua kuwa kuna watendaji wabovu na Mpo madarakani (which to me it means mmewaweka kwenye positions walizo nazo nyinyi wenyewe - and it doesn't matter hao watendaji ni TLP, CHADEMA, UDP au CCM- kwanini hawatolewi?
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  we mwigulu usikimbie swali.
  Hao watumishi wa serikali unaowasema ni kina nani?
  Unataka nani awawajibishe?
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  tatizo la hilo chama lenu CCM hamna Mungu wa kweli zas y daily mnafisadi nchi, na kufumaniwa igunga.
  2015 ndo mtakubali mziki wa chama cha Mungu na watu CHADEMA.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Nafurahi umekiri kuna tatizo ndani ya wana ccm na watawala wake!!!hivyo watanzania tumeamua kutafuta mbadala wa CCM na wewe pia ni vizuri ukaungana nasi katika kuleta maendeleo ya nchi!! riziki popote usifikirie sana juu ya kibarua chako kwa sasa ndani ya chama fikiria maisha ya watanzania 42million
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Shardcole, nafurahi posting yako imemtaja Mungu. Tumeambiwa turekebishane na tusameheane, maybe ndugu zetu waliopo ccm wanajua tusichokijua (and by practice hata mimi nina mashaka makubwa kuwa kuna uwezekano wa nilichokisema hata kwa 10%) ila tuwape nafasi watuambie kilichopo moyoni mwao bila prejudice!
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Serekali kuwa na baraza bovu la mawaziri na watendaji wabovu wa serikali ni matokeo ya rais DHAIFU.mwiguru aache longo2
   
 15. Mwigulu Nchemba

  Mwigulu Nchemba Verified User

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 180
  Nachukia mtu aliyeboronga kuhamishwa, hata mvivu tu kulelewa cos kuna watu wengi sana wanatafuta kazi. Inawekana awamu ya kwanza ilihamisha watu walioboronga sawa wasomi hawakwepo niliwahi kufuatilia nikaambiwa sheria zinawalinda waborongaji kuwa ukimfukuza utamlipa hela nyingi. Bila ubishi tuziangalie upya sheria hizo. Tuwasiliane kwa facebook nikupe cm kwa ushauri. Nakuelewa you have a point
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mkuu wangu Shardcole, naomba tuache personal issues. Tanzania ni yetu wote (CHADEMA, CCM, TLP, UDP na wanachama wa vyama vingine vyote na wasio na vyama), naomba tuwape nafasi ndugu zetu Nape na Mwigulu watupe maoni yao toka moyoni mwao japo watilie maanani inputs zetu.
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Asante sana, naomba NIKU-PM kesho maana nimejipa ban Facebook. Huwa inanifanya nisifanye kazi!
   
 18. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hongera sana japo umeongelea kiujumla lkn umeonyesha uko tofauti na Nape na Lusinde. Mzee mimi nakupata sana hata kipindi kile uligombea UDSM ukashindwa baadaye mwaka 2010 tulikuwa pale Corner Bar kwenye maandalizi ya harusi ya rafiki yetu mmoja. Mimi nilikuwa mwanachama mwadilifu sana wa CCM lkn maamuzi mabovu ya chama yamepunguza hari na kasi na sasa najikuta automatically napiga kura yangu upinzani japo bado nina kadi ya CCM na ni mwanachama hai ndugu yangu.

  Huwezi amini kwamba hata ushindi wa wapinzani Arumeru umenifuraisha sana japo si mwanachama wao, kwani bado naangalia Sustainable Political party ambacho iko committed na maendeleo ya nchi yetu na si kukumbatia mafisadi wachache ambao hawana habari na watanzania walio wengi.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mwigulu mim nimeelewa hivi
  1.SERIKALI INAYOUNDWA NA CCM HAIWEZ KUWASIMAMIA WATENDAJI
  2.CCM MI0NG0N MWENU HAMNA WAZALENDO
  3.MNAWAJUA WAUA CHAMA MNAWAACHA.
  4.tuendelee kuwahurumia.
  HAYO NI KWA MUJIBU WA UR POST
   
 20. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  tatizo ni sheria au ujasiri wa kuchukua hatua?hapo juu unasema sheria zetu ni nzuri na zinatumiwa na mataifa mengine sasa hivi ushaanza kugeuza kiswahili.
  Kweli ccm mnapenda utapeli sana.
   
Loading...