Huu ni uzalendo au sifa za kijinga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni uzalendo au sifa za kijinga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KUNGURU HAFUGIKI, Apr 10, 2012.

 1. K

  KUNGURU HAFUGIKI New Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa mwenye cheo cha uhazini wa chama cha magamba kila nimuonapo ana skafu ya bendera ya taifa wakati ana mambo ya ajabu kama nini naombeni mnisaidie mimi ni mgeni na simuelewi huyu jamaa ni uzalendo kweli au sifa za kijinga?
   
 2. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  ***** period
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mwigullu nchemba squad kilaza tu
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Ulidhani washamba wapo shamba tu!!......hata mjini wapo kibao.
  Ila kwa ninavyowajuwa mimi CCM hayo ni lazima yatakuwa ni masharti ya mganga.
   
 5. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Unaumwa ww huu uzi hauna mashiko. Leta hoja za msingi na si mtu. Unashaa mtu kuiweka skafu ya bendera ya taifa!kha!! Ebu angalia skafu za bendera ya Marekani zilivyozagaa na watu wanavyozitumia. Leta hoja za msingi si chuki na fitina zilizokujaa moyoni.
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  ...........hata kwetu wapoo......
   
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  polepole! Mleta uzi haumwi ila ni mzalendo wa ukweli kwani anashindwa kumwelewa m2 anayevaa bendera ya taifa kama mzalendo kumbe mambo yake na utaifa ni vi2 viwili tofauti.... Refer ma2c ya juzi kati Arumeru plus kushikwa church akipiga campaign siku ya kupiga kura, plus rushwa, etc etc etc! Au nawe magamba nini? MAGAMBA WEWE.
   
 8. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huyu bila kufumaniwa na kubakwaa hawezi kuacha upuuzi wake. Hichi kitoto kinapaswa kishughulikiwe kwa kuwekewa mtego na kunaswa na kubakwa ili kiachane na upuuzi wake.
   
 9. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :kev::washing:Mhh!!! Machoni kama watu...miyoni....wanafiki wakubwa....wanatukana hadharani...wanatoa rushwa hadi makanisani....Uzalendo uko wapi hapo????:heh:
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona unatumia picha ya Yule mwenzake waliyekuwa wanapiga nae kampeni kule Arumeru Kama avatar yako hiyo picha ulimpiga wakati akiwa gombe nini ?
   
Loading...