Tusiwe wanafiki kwa wabunge wetu kwa mambo ya kufikiria na kupata majibu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiwe wanafiki kwa wabunge wetu kwa mambo ya kufikiria na kupata majibu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Apr 10, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Inaonyecha ni kiasi gani watanzania wengi tulivyo wavivu wa kifikiri, hasa pale tunapo tuma posti hapa jf kwa lengo la kumchafua mbunge mmoja na kuwaacha wengine.ni kweli leo Nassari hakufika bungeni pamoja na mwenzake wa ccm,lakini tunamlam Nassari pekee na kumwacha mwenzake,na si hao tu leo bungeni palipwaya sana kwa wabunge wengi kutofika,lakini watanzania tumetanguliza lawama na itikadi mbele bila kujiuliza sababu za wao kutofika.
  Tujirekebishe tabia hi ni chafu na haifai.
  LEO TAIFA LINAMSIBA NA WABUNGE KARIBU WOTE WAMEELEKEA HUKO.

  UTU KWANZA MASLAHI BAADAE

  PUMZIKA KWA AMANI KAMANDA KANUMBA WENGI TUTAKUKUMBIKA.
   
Loading...