Naamini kuwa siku ya kuikomboa Tanzania sio siku ile CCM itakapong'olewa madarakani, au siku ile CHADEMA watakaposhika dola bali siku ya kuikomboa Tanzania ni siku ile watanzania tutakapoanza...
Wana jf,kuna jambo ambalo kiundani linatatiza na linatoa taswira mbaya kwa jeshi letu la porisi na serikal kwa ujumla
Leo mtuhumiwa wa kwanza ya mauaji ya Steven kanumba amepelekwa mahakaman...
....Ninasubiri, na nitafurahi na kuona kwamba Bunge letu limefanya haki kama litasimama dakika moja tu, kutoa heshima kwa mpendwa wetu, kamanda, aliyekwenda vitani akakoswa risasi na majeshi ya...
Ukweli ni kwamba nyimbo ya 'tunataka haki, na operation sangara' moyoni nisawa vipisi vya chuma-moto mguuni ukikanyaga kama wewe ni ccm. Arumeru nyimbo za cdm tu zenyewe zafanya kazi. Wewe...
Chadema yesterday filed an appeal notice against last week's nullification by the High Court of Mr Godbless Lema's election as Arusha Urban MP. Advocate Method Kimomogoro filed the notice at the...
Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba...
Nikiwa Mbuguni,nimeshuhudia zogo baina ya mawakala kuhusu Mtu aliye ongozana na mwenzake kumsaidia kupiga kura ati hajui kuandika.
Wakala wa CDM kuonyesha yuko makini,akakagua kitambulisho chake...
Chaguzi ndogo zilizofanyika tarehe 1, April zimeacha mengi hasa baada ya ccm kupigwa mueleka kotekote! Pamoja na kuwatumiwa walioaminiwa ndani ya chama kama wapambanaji wa ufisadi na hinyo...
Kwa hakika hata mbumbumbu wa sheria anaweza kuona ni namna gani hakimu aliyehukumu kesi ya Lema alivyotumiwa na wanasiasa kutoa hukumu ile ya kipuuzi!
Kesi hii imetoa mwanya kwa Watanzania...
Wana JF na wana Chadema wote waishio Dodoma ni kwamba siku ya Jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU - Dodoma kuanzia saa saba...
UDAKTARI, Uanasheria na Uhandisi zimetajwa kuwa ni kada za utumishi zenye uzito mkubwa zinazostahili mshahara mkubwa kuliko nyingine.
Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
Ukiongelea ngome za CDM majiji yote kasoro Tanga, Yaani mbeya, Dar, Mwanza na Arusha, lakini arusha wana special case, ndio maana tathmini ya watu wanasema hata CDM ikisimamisha jiwe watashinda...
Mwaka 2010 serikali ya ccm kupitia JK Iliahidi kufuta ada za mitihani ya kitaifa kidato cha nne.hivyo ccm haina ahadi za kutekelezeka bdl yake inawadanganya walalahoi!
Waziri Ofisi ya Rais - Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and Co-ordination) Bwana Stephen Masato Wassira, ameripotiwa kuwa na historia ya kuoa na kuacha wake zaidi ya...
Jamani ebu tujadili hoja ya Katiba na Uelewa kwa jamii isiyojua kusoma na kuandika. Tunaweza kufanyeje ili kufikisha ujumbe wa kuwashirikisha hata wasiojua kusoma na kuandika kuchangia mawazo yao...
Ilianza na Abdurahman Babu, alipoonekana hataki muungano pamoja na mambo mengine, akapoozwa kwa kupewa uwaziri Bara. Hata Makamu wa kwanza wa mjomba hakuwa anapenda muungano, akapoozwa, sasa hivi...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikiujiuliza swali hili " Hivi serikali ya ccm kwa nini imeshindwa kumtumia huyu gwiji wa habari na mambo mengi ya kiutawala, uchumi, siasa na uongozi? "
Kwa hakika...