Tukisema CCM wanambinu za kuiba,tunaonekana JF waongo,Soma hii

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Nikiwa Mbuguni,nimeshuhudia zogo baina ya mawakala kuhusu Mtu aliye ongozana na mwenzake kumsaidia kupiga kura ati hajui kuandika.
Wakala wa CDM kuonyesha yuko makini,akakagua kitambulisho chake na kugundua kimesainiwa,akamuuliza umeongozana nahuyu mtu akusaidie kupiga kura mbona ulisaini hapa nyuma siku ya kupewa kitambulisho?
Baadae ikaja kujulikana kuwa jamaa aliye ongozana nae alikuwa kesha mpa pesa huyo jamaa aipigie CCM sasa akawa anamlinda na kudanganya hivyo ili ahakikishe kura kwa CCM.
Polisi aliingilia kati na kuamuru huyo jamaa akapige kura mwenyewe.
CCM Noma.
 
Hii style ya ulinzi inaitwa mtu kwa mtu...

Kilichowatisha ni kauli ya KURA CDM na KULA ccm so wakaamua kumkomalia jamaa. Big up kwa wakala wa CDM kwa kuijua vema kazi yake
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
hii nimeipenda!!!!!, CCM ni mafisadi hadi kwenye Kura. umakini huu wa mawakara uwe endelevu. peeeeeeeeeeplz.....................P0wwwwwwwwwwwwwwwwwer.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Hawa ni wakali! Kuna mmoja katika kituo cha kupigia Kura Usa river kapelekewa chakula kwenye hotpot kumbe ndani kuna karatasi za kura! Tena mwenyekiti wa mtaa!
 
Hawa ni wakali! Kuna mmoja katika kituo cha kupigia Kura Usa river kapelekewa chakula kwenye hotpot kumbe ndani kuna karatasi za kura! Tena mwenyekiti wa mtaa!

duh sisiemu noma ila CDM wamewashikisha adabu!safiii
 
Khaa!!hii trick iko kietnamu zaidi,napenda hii k2 ...nashaur CDM iwe na TAKUKURU yake ili mbwa kamata mwizi ifanikiwe zaidi
 
Back
Top Bottom