Katiba na uelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba na uelewa

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mimibaba, Apr 11, 2012.

 1. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katiba na Uelewa.gif
  Jamani ebu tujadili hoja ya Katiba na Uelewa kwa jamii isiyojua kusoma na kuandika. Tunaweza kufanyeje ili kufikisha ujumbe wa kuwashirikisha hata wasiojua kusoma na kuandika kuchangia mawazo yao kikamilifu. Kikubwa zaidi ni jinsi ya kuwajengea ujasiri na imani ya kutambua michango yao kuwa ni muhimu katika zoezi zima kama sehemu ya ushirikishwaji wa kila mwananchi.
   
Loading...