CHADEMA kazi kwenu; kauli hii ina nguvu ya kubadilisha vikongwe 10000000 wa CCM!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Mwaka 2010 serikali ya ccm kupitia JK Iliahidi kufuta ada za mitihani ya kitaifa kidato cha nne.hivyo ccm haina ahadi za kutekelezeka bdl yake inawadanganya walalahoi!
 
Mwaka 2010 serikali ya ccm kupitia JK Iliahidi kufuta ada za mitihani ya kitaifa kidato cha nne.hivyo ccm haina ahadi za kutekelezeka bdl yake inawadanganya walalahoi!

Mwaka huu wamerejesha ada hizo, na waraka wameshatoa, ni shs za Tanzania 35,000/=, kazi kwao wana CCM walalahoi.
 
Mwaka 2010 serikali ya ccm kupitia JK Iliahidi kufuta ada za mitihani ya kitaifa kidato cha nne.hivyo ccm haina ahadi za kutekelezeka bdl yake inawadanganya walalahoi!
ni kweli ila tunaomba utupe kinachojiri uwanja wa barafu.au siyo.
 
CCM kila siku huwa wanafikiria namna ya kusurvive the next day. Hivyo kwao kudanganya leo siyo tatizo ............... maana kesho watakuja na uongo mwingine. Ndiyo maana mliambiwa Kigoma itakuwa kam Dubai, Mwanza kama Calfornia......., meli zitanunuliwa na barabara zitajengwa. Kumbe alikuwa anafikiria Magufuri ndiyo atafanya mambo yote hayo!! Hivyo akamrudishia Wizara yake.
 
hata mimi nilistaajabu sana!kawaida ya ccm mara mtihani kidato cha 2 upo,mara hakuna kufelishwa,sasa kuchagua hesabu
 
Hao vikongwe 10,000,000 tanzania wametoka wapi?
hili ndo hatari ya kuchanganya taaluma na masuala ya kishabiki!
Demographic statistics zinaionyesha tanzania kuwa ni among young population.
Msikurupuke WADANGANYIKA.

Viva Zanzibar nchi inayoexist sio Tanganyika iliyopotea.
 
Back
Top Bottom