CHADEMA mtumieni Jenerali Ulimwengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mtumieni Jenerali Ulimwengu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akelu kungisi, Apr 11, 2012.

 1. a

  akelu kungisi Senior Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikiujiuliza swali hili " Hivi serikali ya ccm kwa nini imeshindwa kumtumia huyu gwiji wa habari na mambo mengi ya kiutawala, uchumi, siasa na uongozi? "
  Kwa hakika Jenerali Ulimwengu ni mtu wa aina yake! Ukisoma CV yake na mambo yake unaweza kugundua kuwa is a gifted person. Na hata anapotoa ushauri wake, maranyingi unakuwa mzito mno, wenye maono ya mbali yaliyojaa hekima na busara.
  Kinachonishangaza ni pale serikali inapomuona kuwa ni "threat"! Hii inanishangaza sana! ( Rejea sakata la kunyang'anywa uraia na Mr Clean). Maranyingi amekuwa akitoa ushauri kwa maandiko yake katika vitabu, magazeti, vijarida , midahalo ya wazi na kwenye vituo mbalimbali vya runinga! Ninafahamu wazi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa akiandika sana makala zake katika gazeti la RAI enzi hizo likimilikiwa Jenerali Ulimwengu.
  Ninadhani kwamba huu ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuitumia hii hazina ambayo jioni yake inakaribia mno! CCM siku zote hawapendi mtu anayesema ukweli na kuwakosoa kwa makosa ya waziwazi mfano wa ujambazi wa KAGODA, MEREMETA, RICHMOND, na ushenzi mwingi amabao hausemeki.
  Jenerali Ulimwengu ni muwazi daima, anaitumia elimu yake kuyaainisha matatizo yaliyopo na kuyatolea majawabu pamoja na kuielimisha jamii ya Watanzania kuhusu elimu ya uraia.
  Ninadhani CHADEMA huu ungekuwa wakati muafaka kumuomba huyu mzee awe mmoja wa washauri wenu katika chama.
  Nafahamu pia ninyi wakuu wa CHADEMA huwa mnachungulia humu JF, naomba yachukueni mawazo yangu kwa uzito unaostahili!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Za asubuhi? Ushakunywa supu?
   
 3. a

  akelu kungisi Senior Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiki ni kibaraza cha ma "great thinkers", ukiwa hauna hoja nyamaza! Habari za supu na chai ni utoto usiopimika!
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,467
  Trophy Points: 280
  kwani hapo kosa lake nini? kwanza kakujulia hali akaenda mbali zaidi kufaham afya yako kwa kuuliza kama umepata kifungua kinywa.. sasa wewe povu limekutoka kweli
   
 5. L

  Lsk Senior Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilishawahi kusema kuwa kuwa kuna watu wanavamia jukwaa la siasa wakati siyo saizi yao hata kidogo. Pelekeni masihara yenu ya UMEKUNYWA SUPU huko jukwaa yenu la MMU,acha kuvamia majukwaa ya watu wenye akili
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jenerali Ulimwengu ana kadi ya CCM ni mwanaCCM asilia ingawa ni mkosoaji mzuri wa sera za chama chake.

  Kununua mapandikizi kwa maneno matamu ya mdomoni kunaweza kuingiza mamluki chadema.

  Kama anaona CCM hakufai pamoja na sera zake anang'ang'ania nini huko?
   
 7. 4

  4change JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 535
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hili ni wazo na ushauri mzuri.kama chadema wana nia ya dhati ya kumkomboa mtazania na 'uhuni' wa ccm na serikali yake hawana budi kutumia hekima na busara za wazee kama ulimwengu.umeelezea vema huyu mtu ni hazina kubwa ambayo inaelekea ukingoni bila kuwa utilized vizuri kwa manufaa ya taifa kwa sasa na for the coming generations.ni mkweli asiye na chembe ya unafiki si mchumia tumbo ana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuchambua mambo,ana maono ya mbali.tuna bahati kuwa na mtu kama huyu lakini tunakuwa 'wapumbavu' kwa kutotumia busara zake kwenye mambo mengi yanayolisumbua taifa hili
   
 8. n

  nyalubanja Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naamini ukosahihi mimi namheshimusana huyujamaa anahekima na akiwamshauli wa chadema vemasana.TATIZO LA WATANZANIA HATUPENDI KUSHAULIWA SISI HUJIFANYA TUNAJUA KILAKITU.WAULIZE WATUMAALUFU KAMA AKINA ZITTO,MNYIKA MBOWE,LISSU,JANUARI,NK. KAMAWANAWASHAURI
   
 9. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Naona unamwongerea Jenelari Urimwengu wa Lai, Mtumaalufu kweri kweri!
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jenerali Twaha Ulimwengu ni ccm asilia [ccm ya Kambarage sio ya hawa mafisadi] ambaye pia ni mzalendo ambae maandiko yake yanaonesha kuwa anaweka Utaifa mbele kuliko chama!!! Kumshauri mtu sio lazima muwe chama kimoja; bila shaka pale British Legion wanapokuwa wanapata kinywaji huwa wanashauriana na wakina Mbowe informally katika mazungumzo!!
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mkuu habari za Ikizu musoma.
   
 12. The Eagle2012

  The Eagle2012 Senior Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo wewe ulikuwa unaona kulikuwa na haja ya kujua kama amepata kifungua kinywa? Ili itusaidie nn? Halafu bila aibu unaunga mkono upuuzi!!
  It was an act of total absurdity kuleta mizaha kwenye mijadala ya msingi,kuchangia sio lazima unaweza kukaa kimya au nenda Facebook!!
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mtu yeyote safi hawezi kuwa ccm.
  ukiona yupo ccm bado ni kwaajili ya kutoa siri za uchafu unaotendeka ndani au anataka kuwa wa mwisho baada ya katiba mpya.
   
 14. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kumbuka alishawahi kuwa katika system huko nyuma na kuna maamuzi ya hovyo aliwahi kuyafanya akiwa kiongozi wa serikali. Ndiyo wale wale tu wakipewa ulaji... kidumu sana tu... lakini wakinyang'anywa wanajifanya wakosoaji ha ha ha!
   
 15. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwenye M4C Mheshimiwa Mbowe aliwaeleza watu sampuli ya kama Jenerali kuwa..Sie tunatangulia mtatukuta mbele ya safari
   
 16. t

  tongi JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Inawezekana unamuelewa vizuri na kumkubali jenerali ulimwengu, lakini mfano mdogo tu, uliona wapi mtu akapewa uimam akiwa mkristo au kupewa uaskofu huku akiwa muislam, fikiri vizuri wapi unapotakiwa kupeleka ushauri, ilitakiwa uanze kumshauri jenerali kujiunga na chadema
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Alikwambia anataka kwenda Chadema??? au anatafuta chama??? Kweli JF imevamiwa siku hizi.
   
 18. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Naona ujumbe umefika, na chadema ukiwa na akili ni sifa tofauti na CCM ambapo ujuaji umewaponza wengi badala ya kuwapaisha
   
 19. a

  akelu kungisi Senior Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Ndinani,
  Habari za kupeana mawazo ya kuhusu namna kuendesha chama makini huwez uzifanya kwenye klabu za pombe ama kwenye vilinge vya soga( kahawa ). Mantiki ya uzi wangu ni kuwashauri CHADEMA wamuombe mzee Jenerali Ulimwengu awe mmoja wa washauri wa chama FORMAL not INFORMAL. Hata mimi huwa naonana na Mnyika kwenye canteen tunapokunywa chai na huwa ninamshauri mambo ya chama chao, lakini maudhui yake yatakuwa less concerned ukilinganisha na ushauri ambao ningetoa iwapo ningetambuliwa katika mfumo wa chama chao.
  Jenerali Ulimwengu si mtu wa aina hiyo, ana uzito wa kipekee sana katika taifa letu Tanzania. Kwamba alikuwa knye system akaboronga si kweli, ninachofahamu ni kwamba the man was so strong kuwaambia ukweli majambazi na wanaotafuna Tanzania yetu bila huruma kwa kalamu yake na maneno yake amabayo yamemfanya awe mhanga hadi leo.
  Ndiyo maana ninawashauri wakuu wa CHADEMA kulifikiria hili suala ikiwezakana wamuajiri kabsa kwa kazi hiyo kama walivyomuita Profesa Baregu, Jenerali deserves also!
   
 20. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kwanini yeye asiitumie CDM?

  Any way ,ia namjua JU ana vimambo fulani vya kichinichini hatari sana!....sema tu kuna muda huwa anazinduka na kukumbuka wajibu wake.
   
Loading...