Chadema files appeal notice after Lema ouster

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Chadema yesterday filed an appeal notice against last week's nullification by the High Court of Mr Godbless Lema's election as Arusha Urban MP. Advocate Method Kimomogoro filed the notice at the Court of Appeal. Mr Kimomogoro represented Mr Lema in the election petition in which three voters successfully challenged the former lawmaker's election in the 2010 polls. "That was a notice of intention to appeal against the unseating of our MP. Other procedures will follow later," Chadema Arusha regional party secretary Amani Golugwa said.

He said the party was required to file its appeal against the High Court judgment within 14 days, adding that Chadema would by early next month be ready for the hearing of the appeal. Mr Golugwa added, however, that it would take some time for the appeal to start being heard after its actual filing. "There is the usual business of appointing judges who will hear the appeal and the need to give the appellant and respondents time to prepare their arguments," he said.

He said Chadema had decided to appeal after concluding that the verdict delivered last Thursday by Mr Justice Gabriel Rwakibalira was a "travesty of justice". "It was alleged that defamatory and abusive language was used against the CCM candidate, but she did not appear before the court to corroborate the claims. No concrete evidence was given to support these claims," Mr Golugwa said.

Chadema chairman Freeman Mbowe told a rally in Arusha on Saturday that the party would appeal against Mr Lema's unseating. "To decide against an appeal and wait for the by-election will amount to accepting defeat and the wild allegations levelled against Godbless Lema. We have decided to follow the full course of the law," Mr Mbowe said.

Mr Lema said on Thursday that Chadema would not appeal against the nullification of his election, adding that he preferred to stand in a by-election straight away.

Source: http://www.thecitizen.co.tz/news/-/21390-chadema-files-appeal-notice-after-lema-ouster
 
Safi sana, ni nzuri kusimamia HAKI kuliko kukubali yaishe. This is what we want for party which is going to lead this country!
 
Tanzania stand up for your rights!!! Let us exhaust the court course before we move to the court of Wananchi which is final and binding.
 
Nakumbuka kesi ya Wasira na Warioba.....ilikuwa hivi hivi mpaka muda wa uwakilishi ukaisha
 
This is great news. Mr. Godbless Lema, you have to fight this judgement through the corridors of Justice. As for you who hold the helm of Justice in this country, you better know that the whole world is watching. Uphold nothing short of justice. All the stake holders in this matter are breathing on your necks. Gone are the days when you could say anything and go unchallenged. We shall tell you straight on the face if you bend the law once more and your dented credibility will keep going down the ladder.
 
By ''Godwine" Nakumbuka kesi ya Wasira na Warioba.....ilikuwa hivi hivi mpaka muda wa uwakilishi ukaisha.

Kimsingi hata mimi huo ndo wasi wasi wangu CCM watafurahia sana kwa kutumia delaying tactics hadi uchaguzi ujao 2015 ili hali jimbo linakaa wazi pia kuchangia wana Arusha kukosa mwakilishi wa hoja zao Bungeni. Pia Mr. Lema alisema hana haja ya appeal then Mbowe anasema tuta appeal. Hizi double standards katika chama zina heri.
 
Nakumbuka kesi ya Wasira na Warioba.....ilikuwa hivi hivi mpaka muda wa uwakilishi ukaisha
Usijali wakati huo majaji wa mahakama ya rufaa walikuwa wawili wakati sheria inataka rufaa isikilizwe na majaji watatu, lakini hali sasa ni tofauti wapo wengi tu.
 
Nimeconfirm mahakama ya rufaa kwa sasa inao majaji 15, CJ excluded. Kwa hiyo wapenda haki msiwe na wasiwasi huenda rufaa ya Mh. Lema ikamalizika hata mwaka huu
 
By ''Godwine" Nakumbuka kesi ya Wasira na Warioba.....ilikuwa hivi hivi mpaka muda wa uwakilishi ukaisha.

Kimsingi hata mimi huo ndo wasi wasi wangu CCM watafurahia sana kwa kutumia delaying tactics hadi uchaguzi ujao 2015 ili hali jimbo linakaa wazi pia kuchangia wana Arusha kukosa mwakilishi wa hoja zao Bungeni. Pia Mr. Lema alisema hana haja ya appeal then Mbowe anasema tuta appeal. Hizi double standards katika chama zina heri.

Hivi mpaka leo hujui tofauti kati ya mtu na chama chenye katiba?Yeye alisema na chama kimesema.Congratulation chadema
 
Japokuwa ni kesi ya kanga kapelekewa kuku,si neno kwani kanga na kuku wote ndege lakini kuku ana sifa zake pekee zinazomtofautisha na kanga.
Rufaa ya mahakamani ikishindikana,tutaomba rufaa ya wananchi ambayo ni final.ikichakachuliwa...no comment!
 
Nchi nyingine Wanasheria huwa wanakuwa mstari wa mbele kulinda na kutetea maslahi ya raia lakini cha kushangaza Tanzania mambo ni tofauti. Imagine hata wanasheria wa Pakstani na Iran wako mstari wa mbele kuliko haya hawa wanasiasa (majaji) wetu wa Bongo!!

Wanasheria naomba kuwauliza, hivi huko mlimani mnaposoma hii LLB huwa kuna course ya Propaganda za CCM au?? Nakumbuka zile propaganda tulizokuwa tunamwagiwa jeshini, nafikiria ndizo wanamwagiwa wanasheria wetu pale UD!!
 
Naomba kuuliza wanasheria sasa kama kakata rufaa sheria inasemaje kuhusu kuhudhuria bungeni na hatma ya ubunge wake hasa kipindi hiki anachosubiri rufaa kufanyiwa kazi . Naomba msaada wanasheria
 
Naomba kuuliza wanasheria sasa kama kakata rufaa sheria inasemaje kuhusu kuhudhuria bungeni na hatma ya ubunge wake hasa kipindi hiki anachosubiri rufaa kufanyiwa kazi . Naomba msaada wanasheria

Decision from the lower court stands until overturned or upheld by Court of appeal. Here is where the CCM and their Judge wanted Lema to be. But in one way if CDM plays nice the case will be heard vey quick.

Remember the Dibagula Case from Morogoro about 'Yesu si mungu', Ile kesi kwa kuwa ilikuwa inaamsha hasira za waislam juu ya Dibagula kuonewa na Judge kwa kufungwa miaka mitano kama sijasahau, Appeal yake ilisikilizwa ndani ya wiki moja na kuwa overturned. Kama wananchi wa Arusha watakuwa watulivu basi possibly hukumu ya rufaa after the next 24 months.
 
By ''Godwine" Nakumbuka kesi ya Wasira na Warioba.....ilikuwa hivi hivi mpaka muda wa uwakilishi ukaisha.

Kimsingi hata mimi huo ndo wasi wasi wangu CCM watafurahia sana kwa kutumia delaying tactics hadi uchaguzi ujao 2015 ili hali jimbo linakaa wazi pia kuchangia wana Arusha kukosa mwakilishi wa hoja zao Bungeni. Pia Mr. Lema alisema hana haja ya appeal then Mbowe anasema tuta appeal. Hizi double standards katika chama zina heri.
Kama huyajui haya mambo kwanini unajiaibisha? kwani ni lazima uchangie? kweli wewe ni mpumbavu wa kutupwa!
 
Back
Top Bottom