Ni nini nafasi ya makamanda wa ufisadi ndani ya ccm? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini nafasi ya makamanda wa ufisadi ndani ya ccm?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maphie, Apr 11, 2012.

 1. maphie

  maphie Senior Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chaguzi ndogo zilizofanyika tarehe 1, April zimeacha mengi hasa baada ya ccm kupigwa mueleka kotekote! Pamoja na kuwatumiwa walioaminiwa ndani ya chama kama wapambanaji wa ufisadi na hinyo kufikiriwa kuwa wana heshima kwa jamii ya watanzania, bado mambo hayakuwa hivyo; nao pia walikataliwa. Hawa ni pamoja na Anne Kilango, Samweli Sitta na Ole Sendeka. Hawa kote walikotumwa walishindwa na wengine kudaiwa kuiga mtindo uleule wa ccm wa kugawa rushwa! Swali langu ni hili; je hawa ndani ya ccm wanaaminiwa tena kam watu makini? Na je; wao wanatofauti yeyote mbele ya jamii na wale watuhumiwa wa ufiasdi?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ushasahau kampeni za 2010 jeikei aliwasafisha mafisadi kwamba ni watu safi?
   
 3. k

  kubenafrank Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote hao hawana jipya zaidi ya kuiba kura kwa kutumia rushwa.Magambaz ni zero
   
 4. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Mwananachi anatakiwa Kuamka mwenyewe,
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha Why Call them Commanders? I would rather call them Migambo
   
Loading...