CHADEMA nyimbo zao tu zinatosha

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Ukweli ni kwamba nyimbo ya 'tunataka haki, na operation sangara' moyoni nisawa vipisi vya chuma-moto mguuni ukikanyaga kama wewe ni ccm. Arumeru nyimbo za cdm tu zenyewe zafanya kazi. Wewe waonaje? Ctaki unafiki. Be genuine!
 
CDM waanza kutapatapa na kila walisemalo wanakosa kujiamini!huu uchaguzi kwakweli unazidi kuidhoofisha chadema!kama slaa angechuzika kugombea arumeru angepata aibu ya karne!chadema weupe!!!
 
hayo yako ndugu situliopo huku CCM ndio wenye hali mbaya sana.
 
CDM waanza kutapatapa na kila walisemalo wanakosa kujiamini!huu uchaguzi kwakweli unazidi kuidhoofisha chadema!kama slaa angechuzika kugombea arumeru angepata aibu ya karne!chadema weupe!!!

Jihesabuni nyie mnaodhani CDM inadhoofika (hapa ukumbini tu achana na eneo la tukio) - na uhesabu IDs zako na za wenzio zoooote kabisa halafu utuambie idadi yake. Then linganisha na idadi ya wale wenye kujishikia akili zao wenyewe, halafu tuambie. Now run!
 
Wingi wenu humu hausaidii ndo maana jana usiku mkachana ukuta na pumba za father wenu!!!watu watatu wamekalisha kijiji cha JF!au ulikuwa umelala?waulize wenzako aibu aliyopata mkuu wenu...nyie weupe tu!
 
CDM waanza kutapatapa na kila walisemalo wanakosa kujiamini!huu uchaguzi kwakweli unazidi kuidhoofisha chadema!kama slaa angechuzika kugombea arumeru angepata aibu ya karne!chadema weupe!!!
so far,chadema wanafanya vizuri. Ni katika mambo mengi yahusuyo mustakbali ma taifa wameonesha umakini,ujasiri na pia uthubutu katika kuyapigania. In short, mtu huhitaji PhD kutambua mchango wa chadema kwa taifa, lkn pia huhitaji hata elimu ya msingi kutambua uchovu wa ccm
 
Dah, siku hiyo Arumeru nyimbo ziliimbwa zikapendeza, yaani nilifananisha na ile muvi ya Sarafina watu walivyokua wanaimba nyimbo za ashindi.
Chadema Chadema .... People's power!!
 
Chadema...Chadema...Peoplez Power x2...Naifili kichizi . Yaani juzi Mwanza ilipipwa Airport wazungu wakajimwaga tukiwa tunampokea Kabwe Zitto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom