Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mumwi, Mar 26, 2012.

 1. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba mwenye taarifa zaidi kutoa hawa wanamagamba wanaotamba uchaguzi kurudiwa mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mbwembwe za uchaguzi hazijawahi kutengua matokeo ya uchaguzi.
  Magamba walie tu
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  hata mimi nimesikia

  wanasema pesa iliyotembea hakuna hakimu duniani ambaye angekubali impite!!! kazi kwenu wana arusha:A S 13:
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,659
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani!!!!! Arusha patachimbika
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Hata uchaguzi urudiwe mara 10, cdm watashinda mara zote. Ccm wanataka kuja kupoteza muda Arusha, au kutalii!
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,518
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wanatwanga maji kwenye kinu. kwa jinsi arusha wanavyomkubali lema hata uchaguzi ukirudiwa atapeta tu.
   
 7. J

  Jqnakei Senior Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kurudia uchaguzi huku ni kupoteza muda.
   
 8. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona mgombea wao wa CCM kesha timkia Kenya kuwa Balozi. watatafuta mgombea mwingine? walisha hesabu alama za nyakati wakajua wameshapoteza ilo jimbo ndiyo mana mama kapewa ubalozi.
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hii habari inaweza kuwa kweli na uwezekano mkubwa ni kwamba hata hukumu yenyewe imeandaliwa na watu wengine kabisa na sio judge aliyeendesha kesi!

  Tanzania tulikotoka tunajuwa lakini huko tuendeko ni giza tupu.
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kama wanapenda uchaguzi mbona wameahirisha uchaguzi wa madiwani arusha?
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ni kupoteza fedha za wafuja jasho wa Tz tuu.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Naamini Tanzania bado wapo wazee wenye busara na uchungu na hii. Wazee hao (kama watasikilizwa) basi waokoe hili hii balaa inalonyemelea Tanzania. Arusha inaweza kufugua ukurasa mpya kabisa kwa kuweka doa lisilofutika mbele ya dunia. Muda upo, busara inabidi itumike. Kinyume na hapo sote tutaingia gharama, tena gharama kubwa!
   
 13. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Breaking Newszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
  Confirmed
  Nimeipata toka kwa mtu wangu wa kariiiiiiiiiiiiiiibu
  GODI-BURE-SI LEMA kwisha habari zake
  Akaendeleze kashfa zake hukoooo mtaaani
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hakuna nguvu ya dola iliyowahi kushinda nguvu ya umma duniani.
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,117
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  Afadhali uchaguzi urudiwe arusha. Kula ccm kura cdm na vielfu kumi vya ccm wanaapollo watapiga bia Kenny Garden hadi wachoke!
   
 16. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  CHADEMA hatuogopi kitu.
  M4C kila kona ya nchi.
   
 17. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hata warudie uchaguzi mard elfu chadema will win!
   
 18. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na ikiwa hivyo CCM watajutia maamuzi hayo daima. Watamlaumu huyo aliyemhonga hakimu.
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Serikali inaingilia uhuru wa mahakama-Jaji mkuu. Yametimia sasa.
   
 20. L

  LULENGO Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli inchi itachomeka mapema muno kabura hata ya mwaka 2015
   
Loading...