Msomaji Raia: Jinsi jaji wa kesi ya Lema alivyotumiwa na wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msomaji Raia: Jinsi jaji wa kesi ya Lema alivyotumiwa na wanasiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akelu kungisi, Apr 11, 2012.

 1. a

  akelu kungisi Senior Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika hata mbumbumbu wa sheria anaweza kuona ni namna gani hakimu aliyehukumu kesi ya Lema alivyotumiwa na wanasiasa kutoa hukumu ile ya kipuuzi!

  Kesi hii imetoa mwanya kwa Watanzania kuamini kuwa kuna mkono mzito wa wanasiasa na vyombo vya dola kuingilia muhimili huu.
  Kwa hili la Lema, serikali imetuandalia mazingira ya kutoamini Mahakama kwa sababu, Lema tangu achaguliwe kuwa mbunge, amefanywa kuwa tatizo kubwa kuliko matatizo mengine yanayolikabili taifa letu( meremeta, richmond, kagoda, dowans etc!

  Soma Raia Mwema uone ufedhuli huu!
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Msomaji Raia huwa hana spea, ni jembe kali na lisiloogopa
   
 3. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tutawanyooooooshaa tu mimi naomba m. Ocampo -icc aje afungue ofisi mapema tu kabla ya 2015 tanzania,kwa sababu ataondoka na wengi kweli.
   
 4. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa watajuta kwa nini walimchokoza shujaa aliyetulia
   
 5. a

  akelu kungisi Senior Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msomaji raia ni jembe la ukweli habari zake ni nzito zenye tafakuri ya kina, huwa namfananisha na mwandishi Kondo Tutindaga wa gazeti la Mwanahalisi
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tuwekee tumsome Msomaji Raia. Jamaa huwa anaandika kama Hutaki Unaacha.
   
 7. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Msomaji Raia ni tu yupo jikoni,
  Hebu fikiria siku Lowasa kamshushia JK zigo la Richmond kwenye NEC Mkapa akamnong'oneza JK kwamba "funga hiyo ajenda", Msomaji Raia akaipata.....chezea msomajiraia wewe??????
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Jamani hata mi nimeisoma hiyo habari but kweli nimeamini kuwa CCM ni majambazi sugu ya haki za watu.
   
 9. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaji alitimiza maelekezo ya mwajiri wake,kwa mfumo wa sasa wa mahakama yenye wateule wa raisi haiwezi kuwa huru wala kuaminiwa na wananchi,mahakama majaji wa mahakama kuu hadi rufaa ilibidi wawe wanathibitishwa na Bunge kwa sifa za weledi wao,sio ambao wameimba sana harambee mama ya magamba,utashangaa hata RItz 1 baadae nae jaji wa mahakama kuu!
   
 10. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  iwekeni hapa tuisome wengine hatupo tanzania muda huu
   
 11. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Namkumbuka Jaji aliyenieleza kuwa mahakama zote ni ccm na tusitegemee jipya wakati ule natoka bethlehemu
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Rufaa wil tel
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni aibu kwa majaji wetu kutumiwa na magamba kama co.n.d.o.m
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kuna muungwana anaweza kutubandikia hiyo makala humu wengine tuko mbali!!
   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kuna muungwana anaweza kutubandikia hiyo makala humu wengine tuko mbali!!
   
 16. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waungwana embu mwenye uwezo atubandikie hapa basi!ila naomba kujulishwa kitu kimoja,hivi hakuna sheria itakayoweza kumuhukumu yeyote yule huko mbeleni iwapo kweli itakuja thibitika kua moja ya kiongozi wa nchi aliingilia muhimili wa mahakama kutokana na mamlaka aliyo nayo sasa?nasema hivi kwa kua c.c.m watake wasitake lazima wataondoka madarakani kwa kupitia box la kura,kama wataleta njama zao za kuiba ili wabaki madarakani kulinda maovu yao basi tutawaondoa kwa nguvu
   
 17. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakati wa kampeni kule Arumeru kuna mama mmoja alisema "hawa waalimu hawajui kuwa wako kwenye ajia ya CCM" watu wakadharau.
   
 18. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sina uwezo wa ku-upload ila jambo moja la ajabu na la kushangaza ni kwamba amesema majaji wenyewe wanadhauriana na kupewa majina. Kuna majaji wamepewa majina yafuatayo:

  "M-serkali"
  "Wa system"
  "wa "Voda-fasta"
  "wa Ikulu"
  "wa awamu ya nee"

  Haya ni mjina wanayoitana wao kwa wao. Ni dhahiri majaji wanachaguliwa/wanateuliwa kwa upendeleo wa rais, kwa hiyo lazima watatii maagizo ya rais.

  Majaji hawateuliwi kutokana na elimu zao! Wengi wa basic degree tuu, sana sana atakuwa ame-attend semina/washa/vikozi vifupi vifupi.

  Wengine wameteuliwa kuwa majaji bila hata experience kwani wamekuwa majaji baada ya miaka kumi tu toka apate basic degree!!

  Shame on judges!!!
   
Loading...