Thi kupigwa vita ,je ni kwa maslahi binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thi kupigwa vita ,je ni kwa maslahi binafsi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TanzActive, Apr 14, 2012.

 1. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo nimepita Mbele ya Hospitali ya Taasisi ya magonjwa ya Moyo(THI) , nimekuta bango kubwa kwamba imefungwa. Hii taasisi ya THI imekuwa ikipigwa vita tangu ilipoanzishwa . Swali kwa JF , je ? sio kwamba inapigwa vita ili watu wa wizarani waendelee na mavuno yao katika kupeleka wagonjwa India ?
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kuna wajinga wajinga flani wanaipiga vita kwa masrahi yao binafsi
   
 3. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Ni kweli THI inapigwa vita sana tena vita hii ni ya siku nyingi sana.
   
 4. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hili jambo limenisikitisha sana kwa sababu miaka 4 iliyopita nilimpeleka Mzee wangu pale akiwa na ugonjwa wa moyo kupanuka na alipona hadi leo hii.

  Hii ni sawa na mauaji , kuwanyima wananchi matibabu kwa bei ahuweni
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Sijui ni kwanini serikali isi_sacrifice bilioni kama 40 kila mwaka ili kuendeleza taasisi moja ya afya. Mfano budget ya 2012/13 taasisi ya moyo, 2013/14 taasisi ya figo, 2014/15 taasisi ya mifumo ya fahamu, 2015/16 taasisi ya mifupa....
   
 6. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani hawa serikali ya CCM
  Hawana mpango wa kuboresha huduma ya afya
   
Loading...