kesi ya kina mgonja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kesi ya kina mgonja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Apr 14, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kesi ya kina mramba,mgonja,yona na kina werema inaendeleaje? update plssss
   
 2. M

  MAMC Senior Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watanganyika si uanwajua ?ni wazee wa kuwa sweyed na matukio so long as Magazeti na redio zina wa keep busy hakuna hata anayekumbuka kuhusu hii Kesi, na nyingine nyingi tu, e.g Johnson Lukaza, etc si unaona hata hii thread hakuna mwenye habari nayo
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hivi ulikua unaamini ni kweli ile kesi? Haaaaaa kweli we mdanganyika,changa la macho lile.
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sio changa la macho. mwenendo wa kesi umeshachapwa na sasa washtakiwa wanaupitia tayari kwa utetezi wao
   
Loading...