SHINIKIZO:John Tendwa jiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHINIKIZO:John Tendwa jiuzulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Apr 2, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  watazania mnaopenda kuona haki inatendeka mmtakubaliana na mimi kuwa kuna umuhimu wa msajili wa vyama ndg john Tendwa anatakiwa kujiuzulu mara moja.

  Kauli zake mbalimbali katika chaguzi mbalimbali zimeonyesha kuwa ni adui namba moja wa haki.

  Mara nyingi amesikika akitoa kauli kandamizi kwa vyama vya upinzani.
  Pia ameonekana ni mtu asiyejua wigo wa majukumu yake.
  Mara nyingi anaingilia majukumu ya tume ya uchaguzi,vyombo vya usalama au mamlaka za kimila kama tulivyoona huko arumeru mashariki.

  Wakati umefika kwa wale wote wanaotumia vyeo vyao kukandamiza haki wawajibike au wakutane na tsunami la nguvu ya umma.
   
 2. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Naona saa hizi anaona aibu kwa kauli zake alizotoa, ukijifanya mwelevu sana mwisho unakuwa mjinga sana.
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kauli zake,Mungu akisema NDIYO, hakuna anayezuia!
  Abadilishe style!!!
   
 4. M

  Mr EWA JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Nafikiri anahitajika kutoengemea chama chochote ndipo kazi yake ataifanya vizuri na anapaswa kujua pia watu wengine wamejaliwa uelewa mkubwa wa kupambanua mambo.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Tendwa alimtishia lema dhidi ya washili
  Tendwa aliwataka wananchi kupiga kura na kuondika vituoni kinyume na matakwa ya kisheria!
   
 6. v

  vngenge JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ukijua hi wenzako wajua lile
   
 7. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Anapaswa kusoma alama za nyakati, kwa sasa vijana hatuna mchezo wala mzaha, tunapigania kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa kundi la wanyang'anyi waliopewa utawala na Tume ya uchaguzi.
   
 8. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hafai huyu. bomu kweli, tutamg'oa kabla ya 2015
   
 9. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tendwa anapaswa kujiuzuru bila kushinikizwa, labda kama hana haya usoni.
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Angoje kushughulikiwa na nguvu ya umma!
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mtashikana mashati sana mwaka huu! na bado...
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimeshuhudia vijana wasio na kadi za chadema wakipiga kampeni,waklinda kura na wakikubali kuumizwa kwa mabomu bila malipo yoyote.
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mungu yupo nyuma ya sauti ya umma
   
 14. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Tendwa naye sijui nani huwa anamtenda mara oooh Washiiri wamempiga marufuku Lema kufika Arumeru mara ooooh Washiiri chagu lao Sioi huyu jamaa mnafiki sana. Vizee kama hv inabidi tuvipumzishe kwa amani mahala pa moto amen
   
 15. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  amezidi kuabika baada ya kushindwa kujibu swali la kitila mkumbo.
   
Loading...