Vijana wote TZ Naombeni maswali kwa uwakilishi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wote TZ Naombeni maswali kwa uwakilishi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Apr 14, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf na vijana wote,kutokana na kongamano la vijana litakalofanyika kesho dodoma mjadala ukiwa ni vijana na changamoto ya ajira,ningeomba maswali,ushauri na mapendekezo ili niweze kuwawasilishia kwa niaba yenu kwa watoa mada
   
 2. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Well;
  Kuna usemi unazungumzia mabadiliko huwa hayaji mpaka watu wagundue tatizo,wakubali kuwa lipo, wajue sababu za hilo tatizo, wajue nini kinatakiwa kifanyike, na nani, wapi, lini na kutambua rasilimali zinazotakiwa kwa utekelezaji wa maazimio ya watu husika na jinsi ya kuzipata......na mwisho wajue kuwa kama wao hawatachukua hatua basi hali haitabadilikaa

  Sasa kijana Dik kabla ya kongamano hilo je vijana husika wanaujua ukweli huu ikiwa ni pamoja na wewe???????
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu mkajadili mfumo wa kuwapa mkataba watu walio-retire kwa umri wao makazini, hii ni moja ya changamoto inayotukabili.
   
 4. r

  rohrer Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je kila kijana anayo vision binafsi ya miaka 30 ijayo? Atakuwa anafanya nini na wapi?
   
 5. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kulinda na kuzitetea rasilimali zetu, miaka 50 ijayo nchi itakuwa haina resources za kututosha, hivyo vijana tukiwaachia kina J. Kikwete, Mkapa na Pinda hao miaka 50 ijayo hawatakuwepo ila mimi na wewe tutapata wakati mgumu kujibu maswali kutoka kwa watoto na wajukuu zetu wakati huo.
   
Loading...