wakulima wa rosho mtwara vijijini wafunga barabara

Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
69
kuna habari kwamba wale wakulima ws korosho mtwara vijijini jana walifunga njia ya tandahimba- mtwara kwa kile kinachodaiwa kuchoshwa na ahadi za selikali kutowalipa madeni yao yamauzo ys korosho kama walivyoahidiwa.inasemeksna wamesema hawataki kuonagari yoyote ile ya serikali.pia walichimba barabara kuzuia magari kupita.serikali imefanya siri taarifs hizi
 
Back
Top Bottom