Hawa wabunge walipotelea wapi?

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Wandugu kuna hawa wabunge wawili wa kipindi cha Msekwa

1) Makadara Mosi
2) Semindu Pawa

Hivi walipotelea wapi? Maana siwasikii kabisa.
 
Wandugu kuna hawa wabunge wawili wa kipindi cha Msekwa

1) Makadara Mosi
2) Semindu Pawa

Hivi walipotelea wapi? Maana siwasikii kabisa.
Miaka minne au mitano iliyopita nilikutana naye Pamba House pale akiwa na Bwana mmoja anaitwa Iluganyuma,walikuwa ni madalali wa plots,nilipiga nao dili moja ambayo hata hivyo haikufanikiwa.
 
Mh.Edward Njelu Mulugala Kasaka; unamkumbuka huyu? Naye mbona kimya, yaani toka kipindi cha mapendekezo yake ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika......!
 
Huwezi kusikika kama huna platform ya kusemea na bunge ni platform nzuri!! Leo hii hawa wabunge wakikosa ubunge ndio kwishney na ndio maana wabunge hasa wa ccm wana nidhamu ya woga!!!
 
Back
Top Bottom