Watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa kukutwa na fedha bandia mkoani Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa kukutwa na fedha bandia mkoani Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlyafinono, Apr 14, 2012.

 1. M

  Mlyafinono Senior Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wawili,mbongo na mkongomani wamekamatwa eneo la Mtera wakiwa na maburugutu ya noti bandia za kitanzania na dola za kimarekani.Watu hao wanashikiliwa katika kituo cha polisi Migori kwa mahojiano.Inadaiwa watu hao walikwenda eneo hilo ambalo ni maarufu kwa shughuli za uvuvi na biashara ya samaki kwa lengo la kumtapeli mama mmoja ambae ni mfanyabiashara mashuhuri mjini Iringa.Jeshi la polisi bado halijathibitisha tukio hilo,lakini alipoulizwa, msemaji wa polisi mkoani hapa amesema anafuatilia taarifa hizo na kuzitolea ufafanuzi baadae.
   
Loading...