Mh. Zitto respect... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Zitto respect...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jobe ayoub, Apr 11, 2012.

 1. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza nitoe pongezi kwa mh.zitto kwa jinsi alivyoliongoza taifa la walalahoi(wananchi walio wengi) kutetea au kuzungumzia masuala na pointi muhimmu leo bungeni..bigup kaka.
  mh.mnyika sijakusahau..

  ila namzungumzia zitto kwa sababu kuna vidudu mtu vina roho za unafiki,umbea na kuchafuana za kumsemea vibaya mh.huyu..
  eti mara ni gamba,mara anatumwa,mara....etc
  Hivi kweli Tz hii na CDM kwa ujumla mnaweza kuipuuza michango na nondo anazozitoa zitto,
  au ndio wale wale anao sema MR.BEN MKAPA kua ni wavivu wa kufikiri.

  Mbona wewe husimami tukakuona michango yako katika taifa hili,kazi kufyata tu na kuwachafua wenye akili zao.
  Alitoa mtazamo wake kuhusu uprezida,na hakusema anagombea,ila akadai anasifa stahiki za kufanya hivyo ila ni kwa ridhaa ya chama chake na wananchi kwa ujumla ndio wenye uwezo wa kumpa nafasi hiyo..na kweli sifa anazo kama hutaki meza wembe.

  Kati ya mawaziri wako hapa TZ,nani anamgusa,ukitaka kujua moto wake muulize mkulo na enzi zile KALAMAGI.watakusimlia A-Z.

  USHAURI:
  simama kwa miguu yako,angalia unakokwenda,pia kumbuka ulikotoka ili ikusaidie kuongeza mwendo ufike haraka uendako.(usisahau kuangalia chini usijikwe)
  majungu,fitina,umbea na roho mbaya hivina msaada kwako.watie nguvu na imani wale waliokwisha simama kuonyesha njia na matumaini kwa WA-TZ wengi,
  sio kuendekeza chuki zisizo na msaada kwako na taifa kwa ujumla..


  BIGUP MH.ZITTO...tupo pamoja


  RETHINK
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  propaganda...
   
 3. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani Zitto ni CCM? Magamba mnajipendekeza sana sasa unaihusishaje CDM kwa ujumla wakati mtu unayemzungumzia ni wa CHADEMA! Acha propaganda zako! Unatoa mapovu bure!
   
 4. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi namkubali sana huyo ndugu.Hana siasa kama za wenzake kwenye camp yake,hakika huyu ni kijana wa mfano.Michango yake mara nyingi ni mizuri sana bungeni.Ila kuna watu wanamuona kama hafai eti kwa vigezo mufilisi vya dini,ukanda anaotoka pamoja na kabila lake ndani ya chama chake.Endelea kaka kulitumikia taifa
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Whistle blower!
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  si wote tuliokuwa bungeni toa taarifa ukaeleweka
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  JF sio jumba la salamu za kipumbavu, sasa kama unampongeza huyo zitto si bora uchukue hizi no# zake (0713730256) alafu umpigie private kuliko kutuma hizo big up zako hata kwa sisi tusishusika. But uprezdaa 2015 hatuwez kumpa labda kama mungu atasaida katiba mpya iruhus kigoma iwe nchi may b hapo ndo atakuwa Rais wa jamhuri ya kigoma 2015.
  LONG LIVE ZITTO !
   
 8. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  japokuwa na umahili wote huo zitto but bado hujazidi sifa za kiushujaa kama za jembe langu lema.
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  inatosha,usiongeze.ok
   
 10. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kuweka namba ya Mh. hapa JF umeomba idhini yake? Hata kama inapatikana kwenye Bunge websites sidhani kama ni sawa.

   
 11. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Well said..!! asietaka analake jambo..


   
 12. dallazz

  dallazz Senior Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tusimbeze kiasi hcho! zitto anaweza.
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  acha uwoga wa kizembe ww! Hizi no# za zitto aliziweka special kwa public zas y hata fcbk zimeanikwa ili kama kuna mtu ana tatizo nae au kama ana salamu za kipumbavu kama huyo mleta thread basi aweze ku mpigia, alafu unatakiwa utofautishe no# za simu za hawa wa heshimiwa kwani ningeleta no# yake ambayo siyo ya public hapo kweli ningekuwa nimetenda kosa┬┤.
  But all ina all 2015 hatuwezi kumpa nchi kwani bado tunahisi kuwa hajapona kichwa vizuri toka atoke india kwani juzi tu tumeshuhudia akimtukana mzee wa watu kwa kutumia magazeti ya magamba tena badala ya kutumia hekima yakumshauri mwanzilishi wake wa chama yy akammtukana kama vile ni kibarua wake wa michikichi ya kigoma.
   
 14. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Remarkable! Wote wenyentima nyongo na Mh.ZITTO waachwe waendelee kwani kwa status ya Mh.ZITTO anastahili kuwa na enemies wengi kitu ambacho yeye anatakiwa aendelee kukubaliana nacho kwa ukomavu zaidi wa kisiasa na kiutawala.ONE DAY YES!
   
 15. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Watamkomaje tuu Zitto?
  Yaani huyu jamaa anawanyima watu usingizi kwelikweli.
  Mungu akutie nguvu Rais wangu mtarajiwa.
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ukomavu gani wa kisiasa am ao unauzungumzia ww? Huu wa kumtukana founder wa chama chako tena hadharani kwenye magazeti ya jambo leo, au ule wa kutaka madaraka kwa udi na uvumba? Au ule wa kumshawishi Halima mdee wasitoke nje ya bunge eti kisa JK ni muislamu mwenzake? Au ule wa kumpigia kampeni Jakaya badili ya mgombea urais wa chama chake(slaa) 2010? Au ule wa kushirikiana na usalama wa taifa kuchakachua kura za slaa 2010? Au ule wa kuwatetea wakina nape kwenye vyombo vya habari kuliko hata wenzake wakina mnyika? Au ule wa kumtumia kafulila kuivuruga Nccr? Au ule wa kuitetea dowans ilipwe? Au ile ya kutangaza nia ya urais kipindi wenzake walikuwa vitani arumeru? Au ule wa kupewa vyeo kibao na ccm ili kuziba mdomo kwenye mambo yatakayogusa maslahi ya ccm? Au ule wa kumsingizia marehemu Regia mtema ndio alotowa wazo la kuonana na rais badala ya kamati kuu ya chama? Au ule wa kuandaa genge la vijana maradical wahuni kuvuruga uchaguzi wa bavicha 2010? Au ule wa kuwa na urafiki wa kushibana na akina Rostam? Au ule wa kuhongwa mabati na barick ili usiwakemee tena mjengoni?
  BASI NIPE JIBU JE KATI YA BAADHI YA UCHAFU HAPO JUU KWELI NDIO UKOMAVU WA KISIASA AU NI UMAITI WA KISIASA?
  Tanx u a lot. LONG LIVE ZITTO AND BIGUP PEZDAA"
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Upuuzi mtupu....
   
 18. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  mMmMmMmMmMm!!!!!
   
 19. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yaani mtu akiangalia ulichokiorodhesha hapo atagundua moja kati ya mawili yafuatayo.
  1. Umeathirika na mfumo kaskazini ndani ya CDM
  2. Unapenda sana story/ umbea wa kwenye vijiwe vya kahawa na kwa jinsi una akili ndogo unauamini bila hata kutafiti.
  Ntakusaidia kwa machache yanayozungumzika lakini kwenye mambo ya umbea peleka hukohuko kwenye vijiwe vya kahawa.
  Zitto alisema hapa jukwaani kwamba hajamjibisha yule mzee wenu kwenye gazeti tajwa ingawa hakubaliani na mawazo yake ya kibaguzi. Hata mimi binafsi sikubaliani na mtu mwenye mawazo ya "kijinga" kama ya kale kazee.
  Kuhusu kutaka nadaraka kwani ni dhambi kusema malengo yako ya baadaye ndani ya CDM? Huu ni upuuzi.
  Halafu sidhani kama mnamfamyia haki Zitto kumchagulia hadi marafiki ama watu wa kuinteract nao. Mbona hamuulizi uhusiano kati ya Mbowe na William Malecela? Acheni wivu wa kijinga. Maana ya upinzani sio uadui, zinapingana hoja na itikadi zetu lakini in normal life sote ni Watanzania.
  Hayo mengine uliyosema yamejaa umbea na hayajibiki na mtu makini.
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ukazkazini uko wapi hapo?kusema kweli ndo ukazkazini?zitto anafaa kusifiwa ila pia ni mtu wa kuogopwa
   
Loading...